Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yatoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini

IMG_6502

Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Bw. Ridhiwan Wema akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar.

Frank-Mvungi-Maelezo

Serikali yatoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini kati ya 87 yaliyowasilisha maombi yake kwa Kamishna wa kazi.

Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na Msemaji  wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Ridhiwan Wema wakati wa mkutano na waansishi wa habari.

Makampuni yaliyosalia 36 hayakupata usajili kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU UENDESHAJI WA WAKALA BINAFSI WA HUDUMAZA AJIRA NCHINI

Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw Ridhiwan Wema pichani, akiongea na Wanahabari hawapo pichani katika ukumbi wa Habari –Maelezo kuhusiana na Suala la la Wakala wa Huduma za Ajira nchini. Kushoto pichani ni Kamishna wa Kazi Bw.Saul Kinemela na kulia pembeni ni Bw Ally Msaki Mkurugenzi wa Ajira wote kutoka Wizara ya Kazi na Ajira.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakala wa huduma za ajira Tanzania (TaESA) wamefanikiwa kutoa mafunzo kwa watafuta kazi 2146

1

Afisa Habari wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) Bi. Jamila Mbaruku akiewaeleza waandishi wa Habari( hawapo pichani) kuhusu kuhusu mikakati ya wakala wa huduma za ajira kusaidia wananchi wa tanzania kuingia katika ushindani wa soko la ajira nchini ikiwemo kutoa mafunzo kwa Watafuta kazi.Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Tawala wa Wakala hiyo Bw. Peter Ugata.

2

Afisa Tawala wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) Bw. Peter Ugata akitoa wito...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali kuyabana zaidi makampuni ya simu nchini, kutumia kanuni mpya za huduma za ziada za mwaka 2015!!

DSC_0072

Ofisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prisca Ulomi, akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na Maktaba)

Na Rabi Hume, Modewjiblog

[TANZANIA] Kasi ya serikali ya awamu ya tano inaonekana kuwa kubwa kwa kuanza kuyabana makampuni ya simu kwa huduma wanazotoa kwa watumiaji wa mitandao hiyo kwa kutumia kanuni mpya za huduma za ziada za mwaka 2015 za sheria ya mawasiliano ya kieletroniki na Posta ya mwaka 2010.

Akizungumzia kanuni hiyo, Msemaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA YATOA NAFASI 44 ZA AJIRA

Taasisi ya Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) iliyo chini ya Wizara ya Nishati na Madini(MEM) imetoa nafasi arobaini na nne (44) za ajira kwa watanzania kupitia Ofisi ya Rais sekreterieti ya ajira utumishi wa umma.
Kwa mujibu wa Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa GST, Bw.Gabriel Kasase alimjulisha Afisa habari wa GST kuwa ajira hizo 44 zimegawanyika katika kwa kila idara ya taasisi ambazo alizitaja kuwa Idara ya utawala nafasi kumi na sita (16) , Idara ya Jiolojia nafasi kumi na moja(11) ,...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 49 CHUO CHA CBE YAFANA, SERIKALI YAYATAKA MAKAMPUNI KUACHA KUTOA NAFASI NYINGI ZA AJIRA KWA WAGENI

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam akiimba wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi rasmi wa mahafali hayo jijini Dar es salaam. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mathew Luhanga (katikati) na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema.Baadhi ya wahitimu wa shahada ya Uhasibu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam...

 

10 years ago

GPL

WAKALA WA HUDUMA ZA AJIRA ATANGAZA UTARATIBU WA KUZINGATIA KUUNGANISHWA NA FURSA NJE YA NCHI

Afisa Habari wa Wakala wa Ajira Tanzania, Jamila Mbarouk (kulia akizungumza) pamoja na Mratibu wa Huduma ya Ajira Tanzania, Joseph Haule Jamila akitoa ufafanuzi Wanahabari wakifuatilia tukio Afisa  Habari wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA), Jamila Mbarouk ametangaza utaratibu wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani