Wakala wa huduma za ajira Tanzania (TaESA) wamefanikiwa kutoa mafunzo kwa watafuta kazi 2146
Afisa Habari wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) Bi. Jamila Mbaruku akiewaeleza waandishi wa Habari( hawapo pichani) kuhusu kuhusu mikakati ya wakala wa huduma za ajira kusaidia wananchi wa tanzania kuingia katika ushindani wa soko la ajira nchini ikiwemo kutoa mafunzo kwa Watafuta kazi.Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Tawala wa Wakala hiyo Bw. Peter Ugata.
Afisa Tawala wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) Bw. Peter Ugata akitoa wito...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Serikali yatoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini
Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Bw. Ridhiwan Wema akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar.
Frank-Mvungi-Maelezo
Serikali yatoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini kati ya 87 yaliyowasilisha maombi yake kwa Kamishna wa kazi.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Ridhiwan Wema wakati wa mkutano na waansishi wa habari.
Makampuni yaliyosalia 36 hayakupata usajili kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xfwMy2zP1p8/VBrXSMW8EzI/AAAAAAABCtA/r6rsf9gxZdI/s72-c/IMG_8858.jpg)
WAKALA WA AJIRA TANZANIA WAELEZA MIKAKATI YAO YA KUWASAIDIA VIJANA WANAOKUBWA NA JANGA LA KUKOSA AJIRA
![](http://4.bp.blogspot.com/-xfwMy2zP1p8/VBrXSMW8EzI/AAAAAAABCtA/r6rsf9gxZdI/s1600/IMG_8858.jpg)
9 years ago
StarTV15 Dec
ILO kutoa mafunzo kazini kwa wahitimu wa elimu ya juu kukabiliana na tatizo la ajira
Wakati Tanzania ikikabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana, vyuo vingi nchini bado vinatajwa kuwa na upungufu wa kutoa elimu kwa vitendo na kuwafanya vijana wanaomaliza elimu ya juu kushindwa kumudu ushindani katika soko la ajira.
Kutokana na upungufu huo unalisukuma Shirika la Kazi Duniani (ILO) kuanzisha mafunzo ya unagezi wakimaanisha mafunzo kazini.
Mafunzo ya unagezi ni mafunzo yanayotolewa kwa vijana katika maeneo yao ya kazi kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kipindi hiki ambacho...
10 years ago
GPLWAKALA WA HUDUMA ZA AJIRA ATANGAZA UTARATIBU WA KUZINGATIA KUUNGANISHWA NA FURSA NJE YA NCHI
9 years ago
StarTV24 Nov
Daktari wa Hospitali ya Bukombe afukuzwa kazi kwa kukataa kutoa huduma
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Amani Mwenegoha amemfukuza kazi daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Bukombe Johanne Mkobwe kwa madai ya kukataa kutoa huduma kwa mtoto wa miezi sita aliyefikishwa Hospitalini hapo akiwa na hali mbaya kiafya.
Mtoto huyo Johson Manyama alifikishwa majira ya saa kumi asubuhi novemba 22 na wazazi wake na kumkuta daktari wa zamu amelala na alipoamshwa aliwafukuza na kuwaambia wasubiri hadi saa mbili yeye anapumzika.
Inadaiwa mtoto Johson alizidiwa mahira ya saa kumi...
9 years ago
MichuziNEWZ ALERT:WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA MIPANGO WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) NA MAOFISA MISITU WA MIKOA YOTE NCHINI LEO
10 years ago
Tanzania Daima19 Sep
TaESA kuwapa mafunzo vijana 2,000
WAKALA wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) itatoa mafunzo kwa wahitimu 2,000 wa vyuo vikuu wanatafuta ajira. Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es Salaam jana, Ofisa habari wa TaESA,...