Suala la hofu ya kiusalama kuelekea mchezo wa El Classico jumamosi hii, Serikali yatoa tamko!
Uwanja unaotarajiwa kuchezwa mchezo huo Jumamosi hii!
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Baada ya hofu kuwapata mashabiki wa soka nchini Hispania kuelekea kwa mchezo wa mahasimu wa jadi Real Madrid na Barcelona, El Classico kuwa wanaweza kushambuliwa na magaidi baada ya wiki iliyopita watu wanaodhaniwa kuwa magaidi kuvamia jiji la Paris wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani serikali ya Hispania imezungumza juu ya hali hiyo.
Kupitia kwa Katibu Wizara ya Nchi na Usalama,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV29 Nov
Wladmir Klitschko, Tyson Fury ulingoni Jumamosi hii kwa mchezo wa masumbwi
Mabondia wa uzito wa juu duniani Wldmir Klitschko wa Ukraine na Tyson Fury wa England jumamosi hii kupanda ulingoni huko Dusseldorf nchini Ujerumani huku pambano hilo la raundi 12 likisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki.
Klitschko amabaye amkuwa bingwa wa dubnia wa uzani huo tangu 2006 akiwa amepigana mara 27 na kushinda mara 23 atakuwa akitetea taji lake la WBA, IBF na WBO dhidi ya Fury anayetamba kumtandika bondia huyo wa Ukraine.
Hali ilikuwa uya utulivu wakati mabondia hao...
11 years ago
CloudsFM13 Jun
9 years ago
Michuzi05 Jan
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MISAADA ILIYOKATALIWA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema misaada inayotolewa na watu mbalimbali kwa ajili ya kusaidia jamii ni lazima iwe imekidhi viwango vya ubora, hivyo haitakiwi kuangaliwa kwa vigezo vya dini, itikadi wala siasa. Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake baada kituo kimojwapo nchini kukataa misaada iliyotolewa na Mbunge wa Bukoba Mjini...
5 years ago
Global Publishers21 Feb
Video: Serikali Yatoa Tamko Madereva Kutekwa DRC
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Wanahabari wakifuatilia tamko hilo.
5 years ago
Michuzi
Asilimia 95 Misenyi ni Wahamiaji Haramu, Serikali ya Tanzania yatoa tamko
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni ameitaka idara ya uhamiaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),kuongeza nguvu kazi katika Wilaya ya Misenyi baada kugundulika uwepo wa wahamiaji haramu wengi wanaotishia hali ya ulinzi na usalama katika Mkoa wa Kagera unaopakana na nchi za Uganda na Rwanda.
Ameyasema hayo baada ya kusikiliza taarifa ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Misenyi iliyosomwa na Mkuu wa Wilaya hiyo,Kanali Denis Mwila iliyoweka wazi ...
10 years ago
Michuzi08 Aug
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
BREAKING NEWS: Serikali yatoa tamko juu ya mabilioni ya fedha za miradi ya MCC
Kamishna Mkuu wa bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi, Johnny Cheyo (Picha ya Maktaba).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Kufuatia suala la Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani kuonya juu ya hali ya kisiasa Zanzibar na matukio mengine yanayotokea hapa nchini huku ikielezwa kuwa inaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada huo, Mapema leo Serikali ya Tanzania kupitia Wizara yake ya Fedha na Uchumi mbele ya waandishi wa habari, wamewatoa hofu watanzania...
11 years ago
Michuzi.jpg)
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU UENDESHAJI WA WAKALA BINAFSI WA HUDUMAZA AJIRA NCHINI
.jpg)
10 years ago
Michuzi13 Nov
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KISUKARI DUNIANI ITAADHIMISHWA KESHO NOVEMBA 14-2014.
SERIKALI imesema gharama za kutibu mgonjwa wa kisukari kwa mwaka hapa nchini ni sh.408,000 na kuwa watu wengi wamekuwa wakiugua ugonjwa huo bila ya wao kujitambua.
Imeelezwa kuwa utafiti uliofanya mwaka 2012 katika wilaya 50 nchini ulionyesha ya kuwa asilimia 9.1 ya watu huugua ugonjwa huo bila wenyewe kujua.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Naibu Waziri wa Afya Kebwe Stephen wakati akitoa tamko la serikali kuhusu siku ya...