CCM Kilimanjaro yatoa tamko juu ya mwenendo wa uchaguzi
Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro umeiomba serikali kuweka sheria madhubuti zinazolenga kuthibiti wasimamizi wa uchaguzi ambao wanakiuka sheria na kanuni za Tume ya taifa ya uchaguzi NEC kwa kusababisha vurugu katika zoezi la uhesabuji wa kura.
Kauli hiyo inakuja kufuatia kuwepo kwa malalamiko mengi ya wagombea wa kiti cha ubunge na udiwani katika baadhi ya majimbo mkoani humo kulalamikia zoezi la uchaguzi kutokuwa huru na...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi9 years ago
CCM Blog5 years ago
MichuziTAMKO LA BARAZA LA ULAMAA BAKWATA TAIFA JUU YA MWENENDO WA CORONA (COVID 19) NA UTEKELEZAJI WA IBADA HUSUSAN MWEZI WA RAMADHANI
Wakati tukikaribia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa limefanya vikao kadhaa kupitia, kutafakari na kuzingatia mwenendo wa COVID 19 nchini Tanzania na hali ya utekelezaji wa Ibada za Swala za Jamaa, Ijumaa na Tarawehe hususan wingi wa watu wanaojitokeza Misikitini katika mwezi wa Ramadhani.
Baada ya tafakari iliyozingatia ushauri wa kitaalamu na miongozo ya kiafya katika kujikinga na kudhibiti ugonjwa wa Corona (COVID 19); pia baada ya kuzingatia kuwa funga ya...
9 years ago
GPLCCM YATOA MWENENDO WA KAMPENI ZAKE
10 years ago
GPLWIZARA YATOA TAMKO JUU YA USAMBAZAJI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
BREAKING NEWS: Serikali yatoa tamko juu ya mabilioni ya fedha za miradi ya MCC
Kamishna Mkuu wa bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi, Johnny Cheyo (Picha ya Maktaba).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Kufuatia suala la Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani kuonya juu ya hali ya kisiasa Zanzibar na matukio mengine yanayotokea hapa nchini huku ikielezwa kuwa inaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada huo, Mapema leo Serikali ya Tanzania kupitia Wizara yake ya Fedha na Uchumi mbele ya waandishi wa habari, wamewatoa hofu watanzania...
5 years ago
CCM BlogNHC ILIVYOIBEBA JUU KWA JUU ILANI YA UCHAGUZI YA CCM KWENYE SEKTA YA NYUMBA
NA MWANDISHI MAALUM
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) ni moja ya mashirika ambayo ni nguzo ya Serikali ya Awamu ya Tano katika uteketezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inayoliongoza taifa kuelekea kwenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.
Mwandishi maalum ambaye amekuwa akimulika mwenendo wa utendaji wa taasisi na mashirika ya umma, amefanya...
10 years ago
Michuzi09 Sep
NEWS ALERT: TCD YATOA TAMKO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA UCHAGUZI MKUU WA 2015
10 years ago
MichuziTAMKO LA SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA-CCM
SHIRIKISHO la Taifa tunawapongeza wajumbe wote wa vikao vyote vya maamuzi ndani ya chama chetu kwa kutenda haki na kumteua mgombea safi, muadilifu, mchapa kazi, mzalendo, ambaye hakuwa na kundi na hadi kwa sasa hana kundi, mwenye dhamira ya dhati na utashi wa kudumisha umoja na mshikamano ndani na nje ya chama chetu.
Shirikisho Taifa tunapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Mheshimiwa Daktari John Pombe Magufuli na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kuteuliwa kuwa wapeperusha bendera ya CCM...