Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMKO LA BARAZA LA ULAMAA BAKWATA TAIFA JUU YA MWENENDO WA CORONA (COVID 19) NA UTEKELEZAJI WA IBADA HUSUSAN MWEZI WA RAMADHANI



Wakati tukikaribia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa limefanya vikao kadhaa kupitia, kutafakari na kuzingatia mwenendo wa COVID 19 nchini Tanzania na hali ya utekelezaji wa Ibada za Swala za Jamaa, Ijumaa na Tarawehe hususan wingi wa watu wanaojitokeza Misikitini katika mwezi wa Ramadhani.

Baada ya tafakari iliyozingatia ushauri wa kitaalamu na miongozo ya kiafya katika kujikinga na kudhibiti ugonjwa wa Corona (COVID 19); pia baada ya kuzingatia kuwa funga ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

BARAZA KUU LA ULAMAA BAKWATA LATO TAMKO KUKABILIANA NA CORONA

 Wakati tukikaribia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa limefanya vikao kadhaa kupitia, kutafakari na kuzingatia mwenendo wa COVID 19 nchini Tanzania na hali ya utekelezaji wa Ibada za Swala za Jamaa, Ijumaa na Tarawehe hususan wingi wa watu wanaojitokeza Misikitini katika mwezi wa Ramadhani.
Baada ya tafakari iliyozingatia ushauri wa kitaalamu na miongozo ya kiafya katika kujikinga na kudhibiti ugonjwa wa Corona (COVID 19); pia baada ya kuzingatia kuwa funga ya...

 

9 years ago

StarTV

CCM Kilimanjaro yatoa tamko juu ya mwenendo wa uchaguzi

Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro umeiomba  serikali kuweka sheria madhubuti zinazolenga kuthibiti wasimamizi wa uchaguzi ambao wanakiuka sheria na kanuni za Tume ya taifa ya uchaguzi NEC kwa kusababisha vurugu katika zoezi  la uhesabuji wa kura.

Kauli hiyo inakuja kufuatia kuwepo kwa malalamiko mengi ya wagombea wa kiti cha  ubunge na udiwani  katika baadhi ya majimbo mkoani humo kulalamikia  zoezi la uchaguzi kutokuwa  huru na...

 

11 years ago

Bongo5

Madee auzungumzia mwezi wa Ramadhani, ‘kikubwa ni tufanye ibada’

Muimbaji wa Tip Top Connection, Hamad Ali aka Madee amewatakia Ramadhan Kareem Waislamu wote waliobahatika kufunga pamoja na kuelezea umuhimu wa mwezi huu kwa waislam. Hamad Ali aka Madee Akizungumza na Bongo5 leo, Madee ambaye kwa mwezi huu amesema anapenda atambulike zaidi kwa jina la Hamad Ali, amewataka waislam wote kufunga Ramadhani na wajiepushe na […]

 

5 years ago

CCM Blog

BARAZA MAASKOFU (TEC) LASITISHA UIMBAJI IBADA ZA MISA KUKABILIANA NA CORONA

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ‘TEC’ limetoa tamko kutekeleza agizo alilotoa Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Aprili 15, juu ya kujilinda na  Corona kwenye masuala ya ibada
TEC imeamua kusitisha mazoezi ya kwaya ili kuepuka mikusanyiko. Pia nyimbo wakati wa ibada zimesitishwa ili Ibada isitumie muda mrefu
Pia mafundisho ya dini kwa watoto na makundi mengine yamesitishwa. Mafundisho yataendelea kwa njia nyingine kama kujisomea katekisimu au njia ya mtandao
Pia kanisa litazingatia umbali wa mtu...

 

5 years ago

CCM Blog

BARAZA LA MAWAZIRI SADC, LARIDHIA USAFIRISHAJI WA BIDHAA MUHIMU, KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA CORONA COVID-19

  Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi Akizungumza katika Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Mambo Nje, Mambo ya Ndani, Fedha na Mipango, Viwanda na Utalii wa SADC, kuhusu mwenendo wa Covid-19 kwa Nchi za SADC uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, TanzaniaMwenyekiti wa Mkutano wa...

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAPEWA ELIMU YA UELEWA JUU YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19)

 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (Wa kwanza kulia) alipokuwa akitoa elimu ya Kujengwa Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwa Watumishi hao, elimu hiyo imetolewa leo katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.
 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akisisitiza jambo kuhusiana na elimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani