Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

BARAZA MAASKOFU (TEC) LASITISHA UIMBAJI IBADA ZA MISA KUKABILIANA NA CORONA

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ‘TEC’ limetoa tamko kutekeleza agizo alilotoa Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Aprili 15, juu ya kujilinda na  Corona kwenye masuala ya ibada
TEC imeamua kusitisha mazoezi ya kwaya ili kuepuka mikusanyiko. Pia nyimbo wakati wa ibada zimesitishwa ili Ibada isitumie muda mrefu
Pia mafundisho ya dini kwa watoto na makundi mengine yamesitishwa. Mafundisho yataendelea kwa njia nyingine kama kujisomea katekisimu au njia ya mtandao
Pia kanisa litazingatia umbali wa mtu...

CCM Blog

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

TEC yazungumzia pesa za Escrow kwa maaskofu

BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) limezungumzia sakata la maaskofu wa kanisa hilo, Methodius Kilaini na Eusebius Nzigirwa kudaiwa kupewa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow na kusema kwa sasa hawawezi kuzungumzia suala hilo kutokana na kuwa linagusa watu binafsi.

5 years ago

CCM Blog

BARAZA KUU LA ULAMAA BAKWATA LATO TAMKO KUKABILIANA NA CORONA

 Wakati tukikaribia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa limefanya vikao kadhaa kupitia, kutafakari na kuzingatia mwenendo wa COVID 19 nchini Tanzania na hali ya utekelezaji wa Ibada za Swala za Jamaa, Ijumaa na Tarawehe hususan wingi wa watu wanaojitokeza Misikitini katika mwezi wa Ramadhani.
Baada ya tafakari iliyozingatia ushauri wa kitaalamu na miongozo ya kiafya katika kujikinga na kudhibiti ugonjwa wa Corona (COVID 19); pia baada ya kuzingatia kuwa funga ya...

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA BARAZA LA ULAMAA BAKWATA TAIFA JUU YA MWENENDO WA CORONA (COVID 19) NA UTEKELEZAJI WA IBADA HUSUSAN MWEZI WA RAMADHANI

Wakati tukikaribia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa limefanya vikao kadhaa kupitia, kutafakari na kuzingatia mwenendo wa COVID 19 nchini Tanzania na hali ya utekelezaji wa Ibada za Swala za Jamaa, Ijumaa na Tarawehe hususan wingi wa watu wanaojitokeza Misikitini katika mwezi wa Ramadhani.

Baada ya tafakari iliyozingatia ushauri wa kitaalamu na miongozo ya kiafya katika kujikinga na kudhibiti ugonjwa wa Corona (COVID 19); pia baada ya kuzingatia kuwa funga ya...

9 years ago

Mwananchi

Baraza la Siasa lasitisha shughuli zake kumlilia Mtikila

Siku moja baada ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Democratic Party, Mchungaji Christopher Mtikila, Baraza la Vyama vya Siasa limeahirisha vikao vyake ili kumuenzi marehemu huyo mpaka baada ya maziko yake.

10 years ago

Vijimambo

Kantate!- Karibuni Ibada ya Kiswahili — Maalum kwa Uimbaji Jumapili hii Mei 03, 2015 Kuanzia saa Kumi kamili

Kichwa cha Siku hii: Zaburi 150:6... Kila mwenye pumzi amsifu BWANA. Haleluya!Kutakuwa na Uimbaji wa Lugha mbalimbali toka nchini Tanzania, Zimbabwe, Marekani, Ujerumani, Australia, Watoto, Vikundi vya Familia na wimbo wa "Mungu nipendo" Utaimbwa kwa lugha zote zitakazoshiriki! (unakaribishwa kuja na kopi ya lugha kwako)Karibu sana na Mkaribishe na mwingine!!!***   ***   Ibada ya Kiswahili Columbus   ***   ***

10 years ago

Vijimambo

Kantante!- Karibuni Ibada ya Kiswahili — Maalum kwa Uimbaji Jumapili hii Mei 03, 2015 Kuanzia saa Kumi kamili

Kichwa cha Siku hii: Zaburi 150:6... Kila mwenye pumzi amsifu BWANA. Haleluya!Kutakuwa na Uimbaji wa Lugha mbalimbali toka nchini Tanzania, Zimbabwe, Marekani, Ujerumani, Australia, Watoto, Vikundi vya Familia na wimbo wa "Mungu nipendo" Utaimbwa kwa lugha zote zitakazoshiriki! (unakaribishwa kuja na kopi ya lugha kwako)Karibu sana na Mkaribishe na mwingine!!!***   ***   Ibada ya Kiswahili Columbus   ***   ***

11 years ago

Mwananchi

IBADA MAALUM: Maaskofu wawataka Ukawa kurejea bungeni

>Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limewataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurudi bungeni bila masharti na kuendelea na mjadala wa Katiba kwa manufaa ya taifa.

9 years ago

Vijimambo

ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
Ibada itafanyika katika kigango cha
Capuchin College4121 Harewood Road, NE, Washington, DC, 20017
Jumapili Tarehe 25 Octoba 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na Wakatoliki DMV anwani. Tupatie mawasiliano yako kwenda kwa:-WauminiWakatoliki@gmail.com
Kwa niaba ya Fr. Leandry Kimario, ni...

5 years ago

Michuzi

MAASKOFU ANGLIKANA WAITAKA JAMII KUUNGANA NA JUHUDI ZA SERIKALI KUKABILIANA NA COVD_19

Askofu wa Kanisa la Anglikana nchini Dkt.Mahimbo Mndolwa akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha leo picha na Ahmed Mahmoud Arusha

Na Ahmed Mahmoud Arusha

Katika kukabiliana na ugonjwa wa corona nchini ,kanisa la Anglikana limetangaza kuongeza ibada zake katika makanisa yake yote ili kuondoa msongamano ambao ungeweza kusababisha maambukizi zaidi ya ugonjwa huo.

Akitoa tamko hilo jijini Arusha mbele ya maskofu 28 wa dayosisi za kanisa hilo, Askofu Mkuu wa kanisa hilo nchini...

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani