Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la Siasa lasitisha shughuli zake kumlilia Mtikila

Siku moja baada ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Democratic Party, Mchungaji Christopher Mtikila, Baraza la Vyama vya Siasa limeahirisha vikao vyake ili kumuenzi marehemu huyo mpaka baada ya maziko yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIFO CHA MTIKILA; BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHA KIKAO

Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama Vya Siasa nchini, Peter Kuga Mziray, Msajili Msaidizi vyama vya Siasa, Sist Nyahoza, na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Monica Laurent. Mwenyekiti Baraza la Kamati ya Bunge na Siasa na rais wa TADEA , John Lifachipaka (kushoto), Peter Kuga Mziray (akisoma taarifa yake), Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa na Sist Nyahoza. Wanahabari wakichukua tukio. Isome habari yote hapa===>PRESS...

 

10 years ago

Vijimambo

BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA KIFO CHA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, Peter Mziray (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na r7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa na Rais wa ADA, John Chipaka.Msajili Msaidizi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Baraza la Vyama vya Siasa nchini latuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mchungaji Mtikila

 Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Peter Kuga Mzirai (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa salamu za rambirambi na kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike tarehe 06 na 07 Oktoba, 2015 katika Hoteli Bwawani Zanzibar  hadi tarehe nyingine itakapotangazwa tena kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa taifa wa Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea...

 

5 years ago

CCM Blog

BARAZA MAASKOFU (TEC) LASITISHA UIMBAJI IBADA ZA MISA KUKABILIANA NA CORONA

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ‘TEC’ limetoa tamko kutekeleza agizo alilotoa Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Aprili 15, juu ya kujilinda na  Corona kwenye masuala ya ibada
TEC imeamua kusitisha mazoezi ya kwaya ili kuepuka mikusanyiko. Pia nyimbo wakati wa ibada zimesitishwa ili Ibada isitumie muda mrefu
Pia mafundisho ya dini kwa watoto na makundi mengine yamesitishwa. Mafundisho yataendelea kwa njia nyingine kama kujisomea katekisimu au njia ya mtandao
Pia kanisa litazingatia umbali wa mtu...

 

11 years ago

Habarileo

EPZA yatetea shughuli zake

MAMLAKA ya Mauzo ya Nje (EPZA) imetaka jamii kuondokana na dhana kwamba shughuli inazozifanya pamoja na manufaa, yanayopatikana ni kwa ajili ya wawekezaji wa nje pekee.

 

9 years ago

StarTV

Bandari ya Bukoba yaanza tena shughuli zake.

Manispaa ya Bukoba  imeiruhusu bandari ya Bukoba kuendelea na shughuli za kawaida kufuatia hatua ya uongozi wa Bandari hiyo kukamilisha ujenzi wa choo cha kisasa,tofauti na kile chaawali ambacho kilidaiwa na uongozi wa Manispaa hiyo kutiririsha maji taka kuelekea Ziwani na kusababisha Bandari hiyo kufungiwa  kipindi cha takribani mwezi mmoja .

Meli ya Mv Serengeti ambayo kwa muda wote  ilikuwa ikiitumia bandari ya Kemondo iliyopo  kilometa saba kutoka mjini Bukoba, imeshuhudiwa ikitia nanga...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mahakama Kenya yafunga baadhi ya shughuli zake

Sekta ya mahakama nchini Kenya imechukua hatua ya kufunga baadhi ya shughuli zake kufuatia taarifa ya kupatikana na mtu wa Kwanza mwenye virusi vya corona nchini humo.

 

11 years ago

Michuzi

Idara ya Uhamiaji yahamishia shughuli zake zote kwenye jengo jipya Kurasini

 Taswira za  Uhamiaji House, jengo la Idara ya Uhamiaji ambamo  shughuli zote za mambo ya uhamiaji zinafanyika maeneo ya  Kurasini, wilaya ya Temeke, (nyuma ya Chuo cha Diplomasia), jijini Dar es salaam. Awali shughuli za uhamiaji zilikuwa zikifanyika katika jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani katikati ya jiji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani