Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bandari ya Bukoba yaanza tena shughuli zake.

Manispaa ya Bukoba  imeiruhusu bandari ya Bukoba kuendelea na shughuli za kawaida kufuatia hatua ya uongozi wa Bandari hiyo kukamilisha ujenzi wa choo cha kisasa,tofauti na kile chaawali ambacho kilidaiwa na uongozi wa Manispaa hiyo kutiririsha maji taka kuelekea Ziwani na kusababisha Bandari hiyo kufungiwa  kipindi cha takribani mwezi mmoja .

Meli ya Mv Serengeti ambayo kwa muda wote  ilikuwa ikiitumia bandari ya Kemondo iliyopo  kilometa saba kutoka mjini Bukoba, imeshuhudiwa ikitia nanga...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO WATEMBELEA BANDARI YA BUKOBA

Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwasili kwenye Bandari ya Bukoba, walipofika kujionea bandari hiyo kongwe iliyopo kwenye fukwe za Ziwa Victoria, mkoani Kagera. Waliotangulia mbele ni Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Wapili kulia). Wengine ni baadhi ya wajumbe wa msafara huo kutoka kushoto ni Bw. Omary Abdallah, Bibi Zena Hussein (Wapili kushoto) na Bw. Julius Edward...

 

5 years ago

Michuzi

HALI YA MJI WA BUKOBA, TAHADHARI YA CORONA, NA SHUGHULI ZA KIMAENDELEO KATIKA PICHA.


 Pichani ni Muonekano wa Kisiwa cha Musira na Bandari ya Bukoba kama palivyonaswa na Kamera yetu Pichani ni baadhi ya abiria na wananchi mbalimbali wakinawa Mikono eneo la Stendi ya Bukoba wakati wanapoingia na kutoka katika kituo cha Mabasi Bukoba, lengo ni kuendelea kuchukua Tahadhari ya Corona.  Pichani ni Mtumishi wa Idara ya Afya akiendelea na majukumu yake ya kuwapima wasafiri wanaoingia Mkoani Kagera, kutokea maeneo mbalimbali pindi wanapoteremka  katika Mabasi.
 Pichani ni katikati...

 

11 years ago

Habarileo

EPZA yatetea shughuli zake

MAMLAKA ya Mauzo ya Nje (EPZA) imetaka jamii kuondokana na dhana kwamba shughuli inazozifanya pamoja na manufaa, yanayopatikana ni kwa ajili ya wawekezaji wa nje pekee.

 

11 years ago

BBCSwahili

Shughuli ya kupiga kura yaanza Afrika Kusini

Shughuli ya kupiga Nchini Afrika Kusini ilianza vyema mapema leo asubuhi huku idadi kubwa ya wapigaji kura ikijitokeza.

 

11 years ago

Michuzi

Maboresho bandari ya Dar es Salaam yaanza kuzaa matunda

Maboresho yanayofanywa na serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) katika kuboresha huduma zinazotolewa na bandari ya Dar es Salaam sasa zimeanza kuzaa matunda.  Kaimu Meneja Mawasiliano wa TPA, Bi. Janeth Ruzangi aliwaambia waandishi wa habari mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam kuwa bandari imeanza kupata mafanikio katika kuwahudumia wateja wake na maeneo mengine kutokana maboresho yanayo endelea kufanywa.  Katika miaka ya hivi karibuni pamekuwepo na mikakati mbalimbali...

 

10 years ago

Mwananchi

Baraza la Siasa lasitisha shughuli zake kumlilia Mtikila

Siku moja baada ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Democratic Party, Mchungaji Christopher Mtikila, Baraza la Vyama vya Siasa limeahirisha vikao vyake ili kumuenzi marehemu huyo mpaka baada ya maziko yake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mahakama Kenya yafunga baadhi ya shughuli zake

Sekta ya mahakama nchini Kenya imechukua hatua ya kufunga baadhi ya shughuli zake kufuatia taarifa ya kupatikana na mtu wa Kwanza mwenye virusi vya corona nchini humo.

 

10 years ago

Vijimambo

Shughuli ya uokoaji zimeanza tena Ufaransa

Ndege za uokoaji zimerejelea shughuliHali ya anga imeathiri uokoajiHali ya hewa katika Milima ya Alps nchini UfaransaJamaa na marafiki ya walioathirika wakitoa rambirambi zaoNdege za uokoajiUtafutaji miili ukiendelea
Polisi nchini Ufaransa wameeleza kuwa hali mbaya ya hewa itakwamisha zoezi la utafutaji miili ya watu wapatao mia moja na hamsini katika eneo la ajali ya ndege na hivyo kuchukuwa siku kadhaa.
Siku ya jana ndege ya Ujerumani ilianguka katika eneo la milima ya Alps huko Ufaransa na...

 

5 years ago

Michuzi

SHUGHULI ZA UTALII KUANZA TENA NCHINI.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla, leo ametoa mwongozo kuhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini katika kipindi hiki cha ugonjwa wa COVID -19

Akizungumza na waandishi wa habari jijini leo, Dkt. Kigwangalla amesema shughuli za Utalii zimeanza tena rasmi leo huku akisisitiza kuwa, Tanzania itafuata utaratibu wa kujikinga na kuwakinga watalii dhidi ya ugonjwa wa COVID - 19 kwa kufuata na kuzingatia maelekezo ya Wizara ya Afya na Shirika la Afya Duniani (...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani