TUME YA MIPANGO WATEMBELEA BANDARI YA BUKOBA
Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwasili kwenye Bandari ya Bukoba, walipofika kujionea bandari hiyo kongwe iliyopo kwenye fukwe za Ziwa Victoria, mkoani Kagera. Waliotangulia mbele ni Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Wapili kulia). Wengine ni baadhi ya wajumbe wa msafara huo kutoka kushoto ni Bw. Omary Abdallah, Bibi Zena Hussein (Wapili kushoto) na Bw. Julius Edward...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTUME YA MIPANGO YATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi.jpg)
TUME YA MIPANGO YATEMBELEA BANDARI YA MBABA BAY
9 years ago
MichuziTume ya Mipango watembelea uwanja wa ndege wa Songwe, Mbeya
9 years ago
MichuziTume ya Mipango Watembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi
11 years ago
Michuziwataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais (Tume ya Mipango) watembelea Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini
9 years ago
Press30 Dec
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ametoa Maagizo Kwa Tume ya Mipango
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Tume ya Mipango kufanya utafiti kuhusu mapato ya Serikali na namna ya kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Mipango wakimpokea Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipowatembelea kwa lengo la kuwaaga.
Amesema Tume ya Mipango kama chombo cha ushauri kwa Serikali kuhusu mipango na uchumi wa nchi, ni lazima ifanye utafiti juu ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuongeza vyanzo wa kukusanya...
9 years ago
StarTV22 Dec
Bandari ya Bukoba yaanza tena shughuli zake.
Manispaa ya Bukoba imeiruhusu bandari ya Bukoba kuendelea na shughuli za kawaida kufuatia hatua ya uongozi wa Bandari hiyo kukamilisha ujenzi wa choo cha kisasa,tofauti na kile chaawali ambacho kilidaiwa na uongozi wa Manispaa hiyo kutiririsha maji taka kuelekea Ziwani na kusababisha Bandari hiyo kufungiwa kipindi cha takribani mwezi mmoja .
Meli ya Mv Serengeti ambayo kwa muda wote ilikuwa ikiitumia bandari ya Kemondo iliyopo kilometa saba kutoka mjini Bukoba, imeshuhudiwa ikitia nanga...