Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume ya Mipango Watembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi

 Magogo ambayo yanasagwa na kuwa vipande vidogo vidogo ambavyo vinasagwa na kuwa karatasi. Vipande vidogo vidogo vya miti vikiwa katika mkanda (conveyer belt) wa kupeleka kwenye mashine ya kutengeneza karatasi.  Matius Makupa, Meneja wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufundi akitoa maelezo juu ya utengenezaji wa karatasi kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo waliotembelea kiwandani hapo. 



 Mhandisi wa madawa (chemical engineer) Beatrice Kigodi (mwenye shati jeupe) akitoa maelezo juu ya upimaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Tume ya Mipango yatembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi

Magogo ambayo yanasagwa na kuwa vipande vidogo vidogo ambavyo vinasagwa na kuwa karatasi.Vipande vidogo vidogo vya miti vikiwa katika mkanda (conveyer belt) wa kupeleka kwenye mashine ya kutengeneza karatasi.Matius Makupa, Meneja wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufundi akitoa maelezo juu ya utengenezaji wa karatasi kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo waliotembelea kiwandani hapo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA ALIZETI SINGIDA

Baadhi ya wakulima wanaoleta alizeti kiwandani hapo wakisubiri huduma ya kukamua mafuta kiwandani hapo. Takribani asilimia 80 ya wakulima wanaoleta alizeti kiwandani hapo wanataka kukamua mafuta ambapo kiwanda kinawalipisha gharama ya kukamua lakini wao wanaondoka na mafuta yao. Jumla ya wakulima 500 wanaleta alizeti kiwandani hapo. Mkurugezi Mkuu wa Kiwanda cha kukamua mafuta cha Singida Fresh Oil Mills Khalid Omary (mwenye kanzu) akimwonesha Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO WATEMBELEA BANDARI YA BUKOBA

Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwasili kwenye Bandari ya Bukoba, walipofika kujionea bandari hiyo kongwe iliyopo kwenye fukwe za Ziwa Victoria, mkoani Kagera. Waliotangulia mbele ni Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Wapili kulia). Wengine ni baadhi ya wajumbe wa msafara huo kutoka kushoto ni Bw. Omary Abdallah, Bibi Zena Hussein (Wapili kushoto) na Bw. Julius Edward...

 

9 years ago

Michuzi

Tume ya Mipango watembelea uwanja wa ndege wa Songwe, Mbeya

Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Tume ya Mipango ikitembelea uwanja wa ndege wa Songwe kujionea maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo.Mmoja wa waongoza ndege katika Uwanja wa Ndege wa Songwe, Bw. Emmanuel Mgaza akitoa maelezo ya jinsi ndege inavyoongozwa mpaka kutua kwa timu ya ukaguzi iliyotembelea uwanjani hapo Mtaalumu wa kuongoza ndege katika uwanja wa Songwe Bw. Baraka Mwakipesile akitoa maelezo kwa baadhi ya wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo waliotembelea...

 

11 years ago

Michuzi

wataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais (Tume ya Mipango) watembelea Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini

Meneja wa Mtambo wa Ruvu Chini, Mhandisi Emmanuel Makusa (Kushoto) akiwaonesha Wataalamu wa Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango mashine nne mpya zilifungwa na Serikali hivi karibuni walipofanya ziara ya ukaguzi katika Mtambo huo uliopo mkoa wa Pwani. Viongozi wa msafara wa wataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Naibu Katibu Mtendaji (Huduma za Jamii na Masuala ya Idadi ya Watu), Bibi Florence Mwanri (Wapili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kiwanda cha Mufindi Paper na mkakati wa kusaidia jamii

INGAWA si lazima mwekezaji kuisaidia jamii iliyozunguka eneo alikowekeza, lakini inashauriwa kuwa iwapo mwekezaji husika atakuwa amefanya hivyo atakuwa amechangia kurudisha sehemu ya faida kwa jamii hiyo. Mbali na kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA ZAO LA SHAYIRI WATEMBELEA KIWANDA CHA KIMEA CHA TBLMOSHI

 MENEJA wa Kiwanda cha Kimea - Moshi, Vitus Mhus akiwaonyesha hatua ya kwanza ya zao la Shayiri linalotumika kutengenezea kimea mahali linapopokelewa kabla ya kuanza kuingizwa kiwandani.Wakulima hao kutoka Vyama Nane vya Ushirika vya wilaya ya Karatu na Monduli mkoani Arusha walitembelea kiwandani hapo hapo juzi ili kujifunza na kujionea zao wanalolima linaandaliwa vipi hadi kutengeneza Kimea  wakulima wa zao la Shayiri kutoka Vyama Nane vya Ushirka vya wilaya ya Karatu na Monduli mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani