Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume ya Mipango yatembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi

Magogo ambayo yanasagwa na kuwa vipande vidogo vidogo ambavyo vinasagwa na kuwa karatasi.Vipande vidogo vidogo vya miti vikiwa katika mkanda (conveyer belt) wa kupeleka kwenye mashine ya kutengeneza karatasi.Matius Makupa, Meneja wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufundi akitoa maelezo juu ya utengenezaji wa karatasi kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo waliotembelea kiwandani hapo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Tume ya Mipango Watembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi

 Magogo ambayo yanasagwa na kuwa vipande vidogo vidogo ambavyo vinasagwa na kuwa karatasi. Vipande vidogo vidogo vya miti vikiwa katika mkanda (conveyer belt) wa kupeleka kwenye mashine ya kutengeneza karatasi.  Matius Makupa, Meneja wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufundi akitoa maelezo juu ya utengenezaji wa karatasi kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo waliotembelea kiwandani hapo. 



 Mhandisi wa madawa (chemical engineer) Beatrice Kigodi (mwenye shati jeupe) akitoa maelezo juu ya upimaji...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA ALIZETI SINGIDA

Baadhi ya wakulima wanaoleta alizeti kiwandani hapo wakisubiri huduma ya kukamua mafuta kiwandani hapo. Takribani asilimia 80 ya wakulima wanaoleta alizeti kiwandani hapo wanataka kukamua mafuta ambapo kiwanda kinawalipisha gharama ya kukamua lakini wao wanaondoka na mafuta yao. Jumla ya wakulima 500 wanaleta alizeti kiwandani hapo. Mkurugezi Mkuu wa Kiwanda cha kukamua mafuta cha Singida Fresh Oil Mills Khalid Omary (mwenye kanzu) akimwonesha Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA EPZA

Meneja wa Utekelezaji na Maendeleo wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Mhandisi Keneth Haule (Kulia) akiukaribisha ugeni kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipokwenda kujionea maendeleo ya miradi ya kimkakati inayotekelezwa katika Mamlaka, Mabibo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kiongozi wa Msafara huo, Bibi Florence Mwanri. Wengine pichani ni Bw. Abel Shirima (Kushoto), Bw. Aloyce Andrea (Wapili Kushoto), na Bw. Omary Abdallah (Wapili Kulia).Kiongozi wa Msafara...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA BANDARI YA MBABA BAY

Na Saidi Mkabakuli, Mbaba Bay Timu wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Tume ya Mipango imetembelea Bandari ya kimkakati ya Mbaba Bay iliyopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Bandari hiyo. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, kiongozi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri alisema kwamba Bandari hiyo ni muhimu kwa uchumi wa nchi kwa kuzingatia eneo la kijiografia la bandari...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Meneja wa Mipango na Mikakati wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Bw. Ntandu Mathayo (Kulia) akiukaribisha ugeni kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipokwenda kujionea maendeleo ya miradi ya kimkakati inayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Kushoto ni Kiongozi wa Msafara huo, Bibi Florence Mwanri. Wengine pichani ni Bw. Aloyce Andrea (Wapili Kushoto), Bw. Robert Senya (Katikati) na Bw. Abel Shirima.Kiongozi wa Msafara kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI WA UMEME WA UPEPO SINGIDA

 Meneja wa Mradi, Mhandisi. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida, mbele yake ni kiongozi wa timu hiyo Mhandisi. Happiness Mgalula, ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Meneja wa Mradi, Mha. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida.  Mhandisi Malesa akitoa maelezo juu ya utendaji kazi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MELI YA KIHISTORIA YA MV LIEMBA

Stori: Mwandishi Wetu, MbeyaMAJANGA! Siku chache baada ya aliyekuwa Shehe Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Abubakar Mketo kufariki dunia akiwa kaburini akizika, kiongozi mwingine wa Kiislam, Katibu Mkuu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya, Juma Killa naye amefariki dunia baada ya kuanguka chooni.Katibu Mkuu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya, Juma Killa (wa pili kushoto) wakati wa uhai wake.
Marehemu Killa alianguka chooni nyumbani kwake, Mtaa wa Majengo jijini hapa Desemba 7, mwaka huu na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kiwanda cha Mufindi Paper na mkakati wa kusaidia jamii

INGAWA si lazima mwekezaji kuisaidia jamii iliyozunguka eneo alikowekeza, lakini inashauriwa kuwa iwapo mwekezaji husika atakuwa amefanya hivyo atakuwa amechangia kurudisha sehemu ya faida kwa jamii hiyo. Mbali na kuwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati ya fedha, biashara na kilimo ya baraza la wawakilishi Zanzibar yatembelea kiwanda cha Sukari Mahonda

DSC_1105

Muonekano wa Kiwanda cha Sukari Mahonda kilivyo hivi sasa.

DSC_1109

Mshauri muelekezi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda Dk. Hamza Hussein Sabri (alie simama) akitoa maelezo na changamoto wanazozipata Kiwandani hapo, kwa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi walipoenda kutembelea Kiwanda hapo.

DSC_1134

Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi Hija Hassan Hija akizunguza na uongozi wa Kiwanda cha Sukari na viongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani