Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume ya Mipango watembelea uwanja wa ndege wa Songwe, Mbeya

Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Tume ya Mipango ikitembelea uwanja wa ndege wa Songwe kujionea maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo.Mmoja wa waongoza ndege katika Uwanja wa Ndege wa Songwe, Bw. Emmanuel Mgaza akitoa maelezo ya jinsi ndege inavyoongozwa mpaka kutua kwa timu ya ukaguzi iliyotembelea uwanjani hapo Mtaalumu wa kuongoza ndege katika uwanja wa Songwe Bw. Baraka Mwakipesile akitoa maelezo kwa baadhi ya wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo waliotembelea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Uwanja wa Ndege Songwe wawa kivutio cha watalii

UWANJA wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, mkoani hapa, umekuwa sehemu ya vivutio vya utalii vinavyopatikana kwenye mikoa ya Kanda za Juu Kusini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO WATEMBELEA BANDARI YA BUKOBA

Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwasili kwenye Bandari ya Bukoba, walipofika kujionea bandari hiyo kongwe iliyopo kwenye fukwe za Ziwa Victoria, mkoani Kagera. Waliotangulia mbele ni Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Wapili kulia). Wengine ni baadhi ya wajumbe wa msafara huo kutoka kushoto ni Bw. Omary Abdallah, Bibi Zena Hussein (Wapili kushoto) na Bw. Julius Edward...

 

10 years ago

Michuzi

timu ya wataalam kutoka wizara ya uchukuzi watembelea kituo cha uongozaji ndege Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA)

Meneja wa Kitengo cha taarifa za Usalama wa Usafiri wa Anga, Bw. Deodore Mushi akitoa maelezo ya namna ya mashine mbalimbali zinazotumika katika chumba maalum cha kutolea taarifa za usafiri wa Anga zinavyofanya kazi, kwa wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, waliotembelea katika ofisi hizo leo asubuhi kufanya tathimini ya utoaji wa huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA). Wa Kwanza kulia ni Afisa Usafirishaji kutoka Wizara ya Uchukuzi, Bw. Biseko Chiganga (aliyevaa...

 

9 years ago

Michuzi

Tume ya Mipango Watembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi

 Magogo ambayo yanasagwa na kuwa vipande vidogo vidogo ambavyo vinasagwa na kuwa karatasi. Vipande vidogo vidogo vya miti vikiwa katika mkanda (conveyer belt) wa kupeleka kwenye mashine ya kutengeneza karatasi.  Matius Makupa, Meneja wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufundi akitoa maelezo juu ya utengenezaji wa karatasi kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo waliotembelea kiwandani hapo. 



 Mhandisi wa madawa (chemical engineer) Beatrice Kigodi (mwenye shati jeupe) akitoa maelezo juu ya upimaji...

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANAYAKAZI WA UWANJA WA NDEGE SONGWE WACHELEWAJI KUFIKA KAZINI ABIRIA WALEO ALFAJIRI WASOTA KWA MASAA WAKIWASUBIRI WAFANYAKAZI HAO

Songwe international Reporting time 6.15am Basi la airport staff linafika 07.40 am likiwa na wafanyakazi hivi kweli ndiyo utaratibu wa kazi?Abiria wakiwa wameduwaa wala hawajui wa kumuuliza kuwa ndege ipo au la poleni sana abiria wa leo asubuhiFoleni ya mabegi hakuna wa kukagua kazi ipo jee huu ni uungwana? kuwasotesha Abiria namna hii?

 

11 years ago

Michuzi

wataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais (Tume ya Mipango) watembelea Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini

Meneja wa Mtambo wa Ruvu Chini, Mhandisi Emmanuel Makusa (Kushoto) akiwaonesha Wataalamu wa Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango mashine nne mpya zilifungwa na Serikali hivi karibuni walipofanya ziara ya ukaguzi katika Mtambo huo uliopo mkoa wa Pwani. Viongozi wa msafara wa wataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Naibu Katibu Mtendaji (Huduma za Jamii na Masuala ya Idadi ya Watu), Bibi Florence Mwanri (Wapili...

 

10 years ago

GPL

WANACHUO WATEMBELEA KITUO CHA HALI YA HEWA UWANJA WA NDEGE DAR

Wanachuo wa Chuo cha Ualimu Vikindu wakiwa katika Kituo cha Mamlaka ya Hali ya Hewa ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar leo kujifunza kwa vitendo somo la utabiri wa hali ya hewa. Mtaalam kutoka kituo cha utabiri wa hali ya hewa akianza kuwapa darasa wanachuo hao. …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani