WAFANAYAKAZI WA UWANJA WA NDEGE SONGWE WACHELEWAJI KUFIKA KAZINI ABIRIA WALEO ALFAJIRI WASOTA KWA MASAA WAKIWASUBIRI WAFANYAKAZI HAO
![](http://3.bp.blogspot.com/-iGGjqR9Ngeo/VLTTZKocV-I/AAAAAAAAyS4/z0m_H3XoQAs/s72-c/10342890_10153501536612971_2725750368417533822_n.jpg)
Songwe international Reporting time 6.15am Basi la airport staff linafika 07.40 am likiwa na wafanyakazi hivi kweli ndiyo utaratibu wa kazi?
Abiria wakiwa wameduwaa wala hawajui wa kumuuliza kuwa ndege ipo au la poleni sana abiria wa leo asubuhi
Foleni ya mabegi hakuna wa kukagua kazi ipo jee huu ni uungwana? kuwasotesha Abiria namna hii?
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTume ya Mipango watembelea uwanja wa ndege wa Songwe, Mbeya
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Uwanja wa Ndege Songwe wawa kivutio cha watalii
UWANJA wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, mkoani hapa, umekuwa sehemu ya vivutio vya utalii vinavyopatikana kwenye mikoa ya Kanda za Juu Kusini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QTZ-hCFh4UY/VKf4vamku5I/AAAAAAAG7Cs/Y_Tqx2hgjMw/s72-c/unnamed.jpg)
PBZ WAKABIDHI MABASI YA ABIRIA KWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME,ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-QTZ-hCFh4UY/VKf4vamku5I/AAAAAAAG7Cs/Y_Tqx2hgjMw/s1600/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-FQEqmD6IPFA/VKf4wqltz_I/AAAAAAAG7C0/YycsQ2HX8eA/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
10 years ago
MichuziWATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBEMBELEA KAMPUNI YA KUHUDUMIA MIZIGO, NDEGE NA ABIRIA YA SWISSPORT INAYOTOA HUDUMA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA)
10 years ago
Vijimambo04 Mar
AENDA JELA KWA KUWAHI KUFIKA KAZINI MAPEMA
![](http://media.cmgdigital.com/shared/img/photos/2015/03/03/f8/42/mcgill.jpg)
Mwendesha lori la kuzoa taka kwenye majumba ya watu mji wa Sandy Spring jimbo la Georgia nchini Marekani anatakiwa kwenda jela wikiendi 14 kwa kisa ni kuwahi kuchukua taka mida ya saa 11 asubuhi badala ya saa 1 asubuhi.na kuwapigia watu kelele wakiwa wamelala.
Kervin McGill yeye mwenyewe alibaki mdomo wazi baada ya kusomewa mashitaka kwamba anapochukua taka saa 11 asubuhi anawapigia kelele waliolala na inakua usumbufu kwa wengine na majirani hao...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-0K7W3SQ3itI/VVzus191MpI/AAAAAAABvfQ/wzyRIqoQ0WA/s72-c/004.jpg)
BALOZI SEIF ATEMBELEA JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-0K7W3SQ3itI/VVzus191MpI/AAAAAAABvfQ/wzyRIqoQ0WA/s640/004.jpg)
10 years ago
Michuzi10 Dec
11 years ago
Michuzi09 Jul
mwandani wa mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere (New Terminal III Project)
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.
Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.
Hapa usafi ukiendelea.
Hapa ni kazi usafi ukifanyika.
Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...