Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maboresho bandari ya Dar es Salaam yaanza kuzaa matunda

Maboresho yanayofanywa na serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) katika kuboresha huduma zinazotolewa na bandari ya Dar es Salaam sasa zimeanza kuzaa matunda.  Kaimu Meneja Mawasiliano wa TPA, Bi. Janeth Ruzangi aliwaambia waandishi wa habari mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam kuwa bandari imeanza kupata mafanikio katika kuwahudumia wateja wake na maeneo mengine kutokana maboresho yanayo endelea kufanywa.  Katika miaka ya hivi karibuni pamekuwepo na mikakati mbalimbali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Maboresho bandari Dar yazaa matunda

MABORESHO yanayofanywa na serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) katika huduma zinazotolewa na Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuzaa matunda. Kaimu Meneja Mawasiliano wa TPA, Janeth Ruzangi,...

 

10 years ago

Mtanzania

Vita ya ujangili yaanza kuzaa matunda

nyalandu-janNa Mwandishi Wetu, Manyoni
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kumekuwapo na mafanikio katika vita dhidi ya majangili kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba.
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, majangili walivamia kwa kasi na kuwaua wanyamapori wakiwamo tembo na faru, hatua ambayo iliibua tishio la kutoweka kwa baadhi ya wanyamapori.
Juzi Waziri Nyalandu alitangaza kukamatwa kwa silaha za kivita zikiwamo bunduki za AK 47 na SMG katika Pori la Akiba la Rungwa...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Dunia Kanda ya Afrika yaridhishwa na maboresho ya miundombinu ya bandari ya Dar es Salaam

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Bw. Awadh Massawe kulia akitoa maelezo ya maboresho yanayoendelea kufanyika katika Bandari ya Dar es Salaa kwa ujumbe wa Benki ya Dunia, ambao ulifanya ziara ya kujionea miradi ya maboresho inayoendelea kufanyika katika Bandari hiyo ambayo miongoni mwa miradi hiyo inafadhiliwa na benki hiyo ili kusaidia kuleta ufanisi wa utendaji kazi, wa pili kutoka kushoto nia Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika,Bw. Makhtar Diop,...

 

10 years ago

Habarileo

JK: Sekta ya elimu imeanza kuzaa matunda

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amesema jitihada za Serikali katika kuboresha sekta ya elimu nchini, zimeanza kuzaa matunda, na sasa takribani shule zote za Serikali zimeanza kufanya vizuri tofauti na miaka ya nyuma.

 

10 years ago

Michuzi

KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM CHAWASILI KATIKA BANDARI YA DAR LEO ASUBUHI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli kushoto akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki Meli kubwa ya mizigo iliyobeba Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam ilipokuwa inakaribia kutia nanga katika bandari ya Dar es Salaam.Taaswira ya Kivuko cha MV Dar es Salaam kama kinavyoonekana juu ya Meli kabla ya kushushwa majini katika bandari ya Dar es Salaam.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha furaha yake ndani ya Kivuko hicho cha MV Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

wahariri walipotembelea bandari ya dar es salaam

 Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Kimataifa cha Makasha (TICTS), Bw. Paul Wallace wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari katika bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni.  Wahariri hao walitembelea maeneo mbalimbali katika bandari hiyo.Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga (kulia) akiwaelezea jambo wahariri wa vyombo vya habari katika bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni.  Wahariri...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Meneja wa Mipango na Mikakati wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Bw. Ntandu Mathayo (Kulia) akiukaribisha ugeni kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipokwenda kujionea maendeleo ya miradi ya kimkakati inayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Kushoto ni Kiongozi wa Msafara huo, Bibi Florence Mwanri. Wengine pichani ni Bw. Aloyce Andrea (Wapili Kushoto), Bw. Robert Senya (Katikati) na Bw. Abel Shirima.Kiongozi wa Msafara kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri...

 

10 years ago

Mwananchi

MV Dar es Salaam yaanza majaribio, yaenda bagamoyo na kurudi Dar

Waziri wa Ujenzi Dk, John Magufuli leo amewaongoza wananchi wa jiji la Dar es Salaam kwenye majaribio ya uzinduzi wa Kivuko kipya Cha MV DAR ES SALAAM kitakachofanya safari zake kati ya Dsm na Bagamoyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani