Vita ya ujangili yaanza kuzaa matunda
Na Mwandishi Wetu, Manyoni
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kumekuwapo na mafanikio katika vita dhidi ya majangili kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba.
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, majangili walivamia kwa kasi na kuwaua wanyamapori wakiwamo tembo na faru, hatua ambayo iliibua tishio la kutoweka kwa baadhi ya wanyamapori.
Juzi Waziri Nyalandu alitangaza kukamatwa kwa silaha za kivita zikiwamo bunduki za AK 47 na SMG katika Pori la Akiba la Rungwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Maboresho bandari ya Dar es Salaam yaanza kuzaa matunda
10 years ago
Habarileo25 Feb
JK: Sekta ya elimu imeanza kuzaa matunda
RAIS Jakaya Kikwete amesema jitihada za Serikali katika kuboresha sekta ya elimu nchini, zimeanza kuzaa matunda, na sasa takribani shule zote za Serikali zimeanza kufanya vizuri tofauti na miaka ya nyuma.
10 years ago
Michuzi.jpg)
Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...
11 years ago
MichuziMatunda ya Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa yaanza kuonekana
Mwekezaji huyo amevutiwa zaidi...
10 years ago
Uhuru Newspaper
VITA YA UJANGILI
Serikali yapewa ndege ya kisasa
NA KHADIJA MUSSA
WADAU wa utalii na uhifadhi ndani na nje ya nchi wameendelea kuunga mkono jitihada za serikali katika mapambano dhidi ya ujangili, kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba.

Tangu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutangaza vita dhidi ya ujangili na kusisitiza kuwa lazima serikali ishinde, matukio ya mauaji ya tembo na faru yamepungua kwa kiasi kikubwa.
Hiyo inatokana na kuimarishwa kwa ulinzi kwenye hifadhi za taifa pamoja na...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Ligi ya kupinga ujangili yaanza
SHIRIKA la Mradi wa Kuboresha Mtandao wa Hifadhi zilizoko Kusini mwa Tanzania (Spanest) limeanzisha michuano ya soka ikiwa ni kampeni za kuhamasisha uhifadhi na vita dhidi ya ujangili wa wanyamapori...
10 years ago
Mwananchi09 Nov
‘Ujangili ni vita ya pamoja’
10 years ago
Mwananchi10 Nov
‘Vita ya ujangili inataka dhamira’