Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi ya kupinga ujangili yaanza

SHIRIKA la Mradi wa Kuboresha Mtandao wa Hifadhi zilizoko Kusini mwa Tanzania (Spanest) limeanzisha michuano ya soka ikiwa ni  kampeni za kuhamasisha uhifadhi na vita dhidi ya ujangili wa wanyamapori...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Alikiba atua Los Angeles kutengeneza video ya kupinga ujangili wa tembo

Alikiba akiwa jijini Los Angeles Marekani na wasanii pamoja na watu mbalimbali walioshiriki kutengeneza video ya wimbo wa kupinga ujangili wa tembo inayotarajiwa kutoka mwezi ujao. Video hiyo imeratibiwa na Wildaid na kudhaminiwa na Swiss Air pamoja na Pembe Club.
Katika kutimiza jukumu lake jipya kama balozi wa kimataifa wa Wildaid, shirika la kimataifa la uhifadhi wanyamapori, mwanamuziki maarufu Mtanzania – Alikiba amesafiri kuelekea jiji la Los Angeles nchini Marekani ili kutengeneza...

 

10 years ago

Mtanzania

Vita ya ujangili yaanza kuzaa matunda

nyalandu-janNa Mwandishi Wetu, Manyoni
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kumekuwapo na mafanikio katika vita dhidi ya majangili kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba.
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, majangili walivamia kwa kasi na kuwaua wanyamapori wakiwamo tembo na faru, hatua ambayo iliibua tishio la kutoweka kwa baadhi ya wanyamapori.
Juzi Waziri Nyalandu alitangaza kukamatwa kwa silaha za kivita zikiwamo bunduki za AK 47 na SMG katika Pori la Akiba la Rungwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya kupinga sheria ya mtandao yaanza

Mchakato wa usikilizwaji wa kesi ya  Sheria ya Makosa ya Uhalifu wa Kimtandao umeanza, huku Mahakama Kuu  nchini ikiipa Serikali siku 14 kuwasilisha mahakamani hapo majibu yake ya  utetezi kuhusiana na kesi hiyo.

 

9 years ago

Mtanzania

Kesi kupinga ubunge Longido yaanza kunguruma

MMGL2750NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

KESI ya kupinga matokeo ya ubunge wa Longido yaliyompa ushindi Onesmo Ole Nangole (Chadema), iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM, Dk. Stephen Kiruswa, imeanza kusikilizwa.

Nangole ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambaye alitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na upinzani, aligombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu na kufanikiwa kushinda.

Kesi hiyo iliyopo mbele ya Jaji Methew Mwaimu, jana  ilianza kusikilizwa...

 

9 years ago

Michuzi

Kesi ya kupinga matokeo ya ubunge iliyowailishwa na aliyekuwa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu yaanza

 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Abdallah Mtolea (CUF) kuwa  Mbunge wa jimbo hilo Dar es Salaam. Kulia ni msemaji wa wa Timu ya Simba Haji Manara  Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Mhe. Abbas Mtemvu (kulia) na mkewe wakitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam.
Mgombea urais kupitia Chama cha  Chauma na ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi ya soka Somali yaanza

Msimu wa soka nchini Somali umeanza rasmi katika mji mkuu Mogadishu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Man U yaanza ligi kwa kichapo

Man U imeanza vibaya msimu huu wa ligi kuu ya England baada ya kukubali kichapo cha magoli 2 - 1 dhidi ya Swansea.

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAANZA LIGI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1

Mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons, Lauvian Mpalile (kushoto) na Jeremia Juma wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-1. (Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tanzania Prisons, Lauvian Mpalile. Jaja akimtoka beki wa Prisons, Nurdin.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani