YANGA YAANZA LIGI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1
Mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons, Lauvian Mpalile (kushoto) na Jeremia Juma wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-1. (Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tanzania Prisons, Lauvian Mpalile. Jaja akimtoka beki wa Prisons, Nurdin.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 Sep
YANGA YAICHAPA 2-1 PRISONS
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeipata ushindi wake wa kwanza kwenye VPL baada ya kuichapa timu ya maafande wa jeshi la Magereza nchini Prisons kwa mabao 2- 0 kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo kiliingia uwanjani kwa lengo la kusaka pointi muhimu kutokana na kuwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya...
11 years ago
Michuzi15 Mar
kagera sugar yaichapa Tanzania prisons 2-1 leo bukoba
Na Faustine Ruta, Bukoba Ligi Kuu Vodacom imeendelea leo na hapa Mjini Bukoba tukishuhudia Timu ya Maafande kutoka Jijini Mbeya ikinyukwa bao 2-1 na wenyeji Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba. Kipindi cha kwanza Tanzania Prisons ndio walipata bao kupitia kwa mchezaji wao Peter Michael katika dakika ya 37 baada ya kuwachambua kama karanga mabeki wa Kagera Sugar na kuachia shuti kali na kumfunga kipa wa Kagera Sugar. Mpaka dakika za mapumziko Tanzania Prisons...
10 years ago
Mwananchi29 Sep
LIGI KUU BARA: Yanga yaanza kugawa dozi
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Prisons yaichapa JKT Ruvu 6-0
10 years ago
Vijimambo28 Feb
Simba yatakata, yaichapa Prisons 5-O, Ajib atupia hat-trick
Klabu ya Simba ya Jijini Dar es salaam leo imefanikiwa kutoa dozi ya msimu kwa maafande wa Tanzania Prisons, baada ya kuwafunga mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Katika mchezo huo mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib ndio aliibuka kinara wa kufumania nyavu baada ya kutupia kambani bao 3 (Hat trick) ambapo katika kipindi cha pili alipumzishwa baada ya kupewaa kadi njano.
Simba walijipatia...
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Arsenal yaongoza Ligi, yaichapa Bournemouth
Mshambuliaji wa Arsenal, Mesut Ozil, akifunga bao la pili katika dakika ya 63 dhidi ya Bournemouth Uwanja wa Emirates, London.
Mesut Ozil akishangilia baada ya kufunga.
Gabriel (kulia) akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 27 kipindi cha kwanza dhidi ya Bournemouth. Theo Walcott (wa pili kulia) katika moja ya mashambulizi yake kipindi cha kwanza. Alex Oxlade-Chamberlain (kushoto) akipiga mpira kwa kichwa.ARSENAL...