Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arsenal yaongoza Ligi, yaichapa Bournemouth

Mshambuliaji wa Arsenal, Mesut Ozil,  akifunga bao la pili katika dakika ya  63 dhidi ya Bournemouth Uwanja wa Emirates, London.

The German celebrates after his goal confirmed Arsenal would return to the top of the Premier League table

Mesut Ozil  akishangilia baada ya kufunga.Gabriel celebrates after giving Arsenal the lead against Bournemouth at the Emirates Stadium 27 minutes into the first half

 Gabriel (kulia) akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 27 kipindi cha kwanza dhidi ya  Bournemouth.

England international Theo Walcott sees his effort on goal well saved by Boruc as Arsenal enjoyed the better of the opening 45 minutes

  Theo Walcott  (wa pili kulia) katika moja ya mashambulizi yake kipindi cha kwanza.

Alex Oxlade-Chamberlain meets the ball with his head in a crowded penalty area during a positive opening period for the home side

 Alex Oxlade-Chamberlain (kushoto) akipiga mpira kwa kichwa.

ARSENAL...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal yaichapa Newcastle 1 - 0

Arsenal yaichapa Newcastle 1 - 0

 

10 years ago

Mwananchi

Arsenal yazinduka, yaichapa West Brom kwao

 Mshambuliaji Danny Welbeck jana aliibuka shujaa wa Arsenal baada ya kuifungia bao la kichwa lilipoipa ushindi timu yake wa bao 1-0 dhidi ya West Bromwich.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Panone FC yaongoza ligi Kilimanjaro

TIMU ngeni katika Ligi Daraja la Tatu ngazi ya Mkoa wa Kilimanjaro, Panone FC, hadi sasa inaongoza ligi hiyo ikiwa imejikusanyia pointi sita baada ya kushuka dimbani mara mbili. Panone...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaongoza ligi Tanzania Bara

Bao la nahodha Nadir Haroub “Cannavaro” lilitosha kuipa Yanga ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wenyeji wao, Coastal Union

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaongoza ligi kuu Tanzania

Timu ya Yanga imepanda kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom nchini Tanzania baada ya kuilaza Prisons 3-0 Alhamisi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Man City yaongoza ligi kuu England

Klabu ya Manchester City yashika usukani kwenye jedwali la msimamo wa ligi kuu Egland kwa ushindi wa mabao 5-1 dhidi Tottenham.

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAANZA LIGI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1

Mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons, Lauvian Mpalile (kushoto) na Jeremia Juma wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-1. (Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tanzania Prisons, Lauvian Mpalile. Jaja akimtoka beki wa Prisons, Nurdin.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

ARSENAL YAICHAPA 'MKONO' ASTON VILLA

Mesut Ozil akiifungia Arsenal bao la pili dakika ya 56. Theo Walcott  akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 63.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani