Arsenal yazinduka, yaichapa West Brom kwao
 Mshambuliaji Danny Welbeck jana aliibuka shujaa wa Arsenal baada ya kuifungia bao la kichwa lilipoipa ushindi timu yake wa bao 1-0 dhidi ya West Bromwich.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen23 Mar
City ease past 10-man West Brom, Arsenal and Spurs win
London. Manchester City retained their slim title hopes thanks to a 3-0 win against 10-man West Bromwich Albion but Arsenal are hot on their heels after a 2-1 victory against Newcastle United in the Premier League on Saturday.
9 years ago
BBCSwahili23 Aug
West Brom 2-3 Chelsea 72''
West Brom wanaialika Chelsea nyumbani kwao huku wakifahamu fika kuwa kocha Mourunho anahitaji ushindi kwa udi na uvumba kufufua kampeini yake
10 years ago
BBCSwahili21 Mar
Mancity yaicharaza West Brom 3-0
Wilfried Bonny alifunga bao lake la kwanza na kuiweka kifua mbele Mancity baada Gareth McAuley wa West Brom kupewa kadi nyekundu.
10 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/1112/production/_84807340_city_celebs_ap.jpg)
West Brom 0-3 Manchester City
Ivory Coast's Yaya Toure inspires Manchester City to victory at West Brom as Raheem Sterling makes his debut for the visitors.
10 years ago
BBCSwahili19 May
West Brom waifunga Chelsea 3-0
West Brom imewachabanga mabingwa ligi kuu ya England Chelsea jumla ya mabao 3-0.
11 years ago
BBCSwahili15 Mar
West Brom yamtimua Nicolas Anelka
Mchezaji wa klabu ya soka ya West Brom, Nicolas Anelka amefutwa kazi na klabu ya West Brom kwa kosa la utovu wa nidhamu.
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
West Brom na Man U kibaruani leo
Baada ya Liverpool kupata ushindi dhidi ya Queens Park Rangers Boss wa Swansea Garry Monk amlalamikia Victor Moses
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
West Brom yakataa kumtoa Berahino
West Bromwich albion, imekataa dau la pauni milioni 15 kutoka Tottenham, inayomhitaji saini ya mshambuliaji Saido Berahino
11 years ago
BBCSwahili12 Feb
Chelsea yatoka sare ya 1-1 na West Brom
Chelsea imepoteza nafasi ya kusalia kileleni mwa ligi kuu ya Premier baada ya kutoka sare na West Brom
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania