Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAICHAPA 2-1 PRISONS

Kikosi cha Young Africans kilichoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeipata ushindi wake wa kwanza kwenye VPL baada ya kuichapa timu ya maafande wa jeshi la Magereza nchini Prisons kwa mabao 2- 0 kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo kiliingia uwanjani kwa lengo la kusaka pointi muhimu kutokana na kuwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

YANGA YAANZA LIGI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1

Mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons, Lauvian Mpalile (kushoto) na Jeremia Juma wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-1. (Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tanzania Prisons, Lauvian Mpalile. Jaja akimtoka beki wa Prisons, Nurdin.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

Mwananchi

Prisons yaichapa JKT Ruvu 6-0

Tanzania Prisons imeiadhibu JKT Ruvu kwa kuichapa 6-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

 

11 years ago

Michuzi

kagera sugar yaichapa Tanzania prisons 2-1 leo bukoba

Kikosi cha Kagera Sugar
Na Faustine Ruta,  Bukoba Ligi Kuu Vodacom imeendelea leo na hapa Mjini Bukoba tukishuhudia Timu ya Maafande kutoka Jijini Mbeya ikinyukwa bao 2-1 na  wenyeji Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba.  Kipindi cha kwanza Tanzania Prisons ndio walipata bao kupitia kwa mchezaji wao Peter Michael katika dakika ya 37 baada ya kuwachambua kama karanga mabeki wa Kagera Sugar na kuachia shuti kali na kumfunga kipa wa Kagera Sugar.  Mpaka dakika za mapumziko Tanzania Prisons...

 

10 years ago

Vijimambo

Simba yatakata, yaichapa Prisons 5-O, Ajib atupia hat-trick

Na Richard Bakana, Dar es salaam
Klabu ya Simba ya Jijini Dar es salaam leo imefanikiwa kutoa dozi ya msimu kwa maafande wa Tanzania Prisons, baada ya kuwafunga mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Katika mchezo huo mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib ndio aliibuka kinara wa kufumania nyavu baada ya kutupia kambani bao 3 (Hat trick) ambapo katika kipindi cha pili alipumzishwa baada ya kupewaa kadi njano.
Simba walijipatia...

 

11 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA RHINO 3-0 TABORA

Kikosi cha timu ya Yanga SC kilichoanza siku ya leo dhidi ya Rhino Rangers, katika Dimba la Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora. Kikosi cha Rhino Rangers kilichoanza siku ya leo dhidi ya Yanga.…

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kidedea, yaichapa BDF XI 2-0

Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Amisi Tambwe leo ameibuka shujaa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam baada ya kuifungia timu yake ya Yanga ya jijini Dar es Salaam magoli 2-0 dhidi ya BDF XI ya nchini Botswana.

 

10 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA MTIBWA 2-0 TAIFA

Mrisho Ngassa. TIMU ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Mechi hiyo imechezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku mabao yote mawili ya Yanga yakiwekwa kimiani na Mrisho Ngassa.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YAICHAPA MBEYA CITY BAO 3-1

 Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya kupata goli la kwanza katika mchezo wao na Mbeya City uliofanyika jana uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1. (Picha na Francis Dande) Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao. Hassa Dilunga akienda chini baada ya kukwatuliawa na Juma Nyoso.
 Amis Tambwe akitafuta mbinu za kumtoka kipa wa Mbeya City, Hanington Kalyesubula.Juma Nyoso akichuana na Amis Tambwe. Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman akiwa katikati ya mabeki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani