Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAICHAPA MTIBWA 2-0 TAIFA

Mrisho Ngassa. TIMU ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Mechi hiyo imechezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku mabao yote mawili ya Yanga yakiwekwa kimiani na Mrisho Ngassa.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA RUVU SHOOTING 5-0 UWANJA WA TAIFA, DAR

Wachezaji wa Yanga, Kpah Sherman na Simon Msuva wakishangilia ushindi wa leo wa 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting. Sintofahamu wakati wa mchezo wa Yanga na Ruvu Shooting leo. Mrisho Ngassa akijaribu kumtoka mchezaji wa Ruvu Shooting. KIKOSI cha Yanga SC leo kimetoa kichapo cha mabao 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye…

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAIPIGISHA KWATA JKT RUVU UWANJA WA TAIFA LEO,YAICHAPA BAO 3 - 1

 Simon Msuva (kushoto) akimkumbatia Mrisho Ngasa huku Danny Mrwanda. Kulia ni Danny Mrwanda baada ya kuifungia kimu yake bao la tatu ambapo Yanga ilishinda 3-1. (Picha zote na Francis Dande) Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akichuana na Damas Makwaya wa JKT Ruvu (kushoto), katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa leo.Msuva akimtoka beki wa JKT Ruvu, Mohamed Faki akiambaa na mpira. Mrisho Ngasa (kushoto) akichuana na Mohamed Faki.

BOFYA HAPA KUONA PICHA...

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAICHAPA MBEYA CITY BAO 3 - 1 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

 Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatoka Mabeki wa Timu ya Mbeya City wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeishia Bao 3 - 1. Picha na Othman Michuzi. Kiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeishia Bao 3 - 1.  Kipa wa Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiangalia mpira wavuni huku...

 

9 years ago

Habarileo

Mtibwa Sugar yaichapa Mafunzo

TIMU ya soka ya Mtibwa Sugar jana ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo katika muendelezo wa mechi za michuano ya kombe la Mapinduzi inayofanyika kwenye uwanja wa Amani mjini hapa.

 

10 years ago

Michuzi

Azam FC yaiadhibu Mtibwa Sugar leo,yaichapa bao 5-2


Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao lao la tano dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azama Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 5-2. (Picha na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar akimiliki mpira.
 Frank Domayo (shoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Mussa Nampaka.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo.
Kipre Tchetche akimiliki mpira.
 Frank Domayo akishangilia bao lake.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YAICHAPA 2-1 PRISONS

Kikosi cha Young Africans kilichoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeipata ushindi wake wa kwanza kwenye VPL baada ya kuichapa timu ya maafande wa jeshi la Magereza nchini Prisons kwa mabao 2- 0 kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo kiliingia uwanjani kwa lengo la kusaka pointi muhimu kutokana na kuwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kidedea, yaichapa BDF XI 2-0

Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Amisi Tambwe leo ameibuka shujaa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam baada ya kuifungia timu yake ya Yanga ya jijini Dar es Salaam magoli 2-0 dhidi ya BDF XI ya nchini Botswana.

 

11 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA RHINO 3-0 TABORA

Kikosi cha timu ya Yanga SC kilichoanza siku ya leo dhidi ya Rhino Rangers, katika Dimba la Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora. Kikosi cha Rhino Rangers kilichoanza siku ya leo dhidi ya Yanga.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani