Azam FC yaiadhibu Mtibwa Sugar leo,yaichapa bao 5-2
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao lao la tano dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azama Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 5-2. (Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar akimiliki mpira.
Frank Domayo (shoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Mussa Nampaka.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo.
Kipre Tchetche akimiliki mpira.
Frank Domayo akishangilia bao lake.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziSIMBA YAVUTWA SHATI NA MTIBWA SUGAR,YATOKA SARE YA BAO 1-1 MJINI MOROGORO LEO
9 years ago
Habarileo06 Jan
Mtibwa Sugar yaichapa Mafunzo
TIMU ya soka ya Mtibwa Sugar jana ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo katika muendelezo wa mechi za michuano ya kombe la Mapinduzi inayofanyika kwenye uwanja wa Amani mjini hapa.
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa
Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]
The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Azam yaichakaza Mtibwa Sugar
11 years ago
GPL
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Mtibwa Sugar, Prison, Azam waishangaa Simba kutofuata taratibu za usajili
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz)
Michuano ya Kombe la Mapinduzi imeendelea tena usiku wa January 3 baada ya kuchezwa mchezo wa awali kati ya Dar Es Salaam Young African ya Tanzania bara dhidi ya Mafunzo FC ya visiwani Zanzibar, baada ya mchezo huo kupigwa na Yanga kuibuka na ushindi wa 3-0. Usiku wa January 3 ulichezwa mchezo wa pili wa […]
The post Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 30 kwa mchezo mmoja wa kiporo kumaliziwa katika dimba la Azam Complex Mbande Chamazi. Huu ni mchezo ambao ulikuwa unakutanisha timu ambazo zinatafuta nafasi ya kusogelea kuelekea kileleni mwa msimamo wa Ligi. Mchezo wa December 30 ulikuwa unazikutanisha timu ya Azam FC dhidi ya klabu ya […]
The post Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30 appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Michuzi15 Mar
kagera sugar yaichapa Tanzania prisons 2-1 leo bukoba
Na Faustine Ruta, Bukoba Ligi Kuu Vodacom imeendelea leo na hapa Mjini Bukoba tukishuhudia Timu ya Maafande kutoka Jijini Mbeya ikinyukwa bao 2-1 na wenyeji Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba. Kipindi cha kwanza Tanzania Prisons ndio walipata bao kupitia kwa mchezaji wao Peter Michael katika dakika ya 37 baada ya kuwachambua kama karanga mabeki wa Kagera Sugar na kuachia shuti kali na kumfunga kipa wa Kagera Sugar. Mpaka dakika za mapumziko Tanzania Prisons...