Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 30 kwa mchezo mmoja wa kiporo kumaliziwa katika dimba la Azam Complex Mbande Chamazi. Huu ni mchezo ambao ulikuwa unakutanisha timu ambazo zinatafuta nafasi ya kusogelea kuelekea kileleni mwa msimamo wa Ligi. Mchezo wa December 30 ulikuwa unazikutanisha timu ya Azam FC dhidi ya klabu ya […]
The post Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30 appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Cheki pichaz na matokeo ya Mtibwa Sugar walivyowaadhibu wajelajela wa Zanzibar …
Michuano ya Kombe la Mapinduzi iliendelea leo January 5 katika uwanja wa Amaan kama kawaida, mchana wa January 5 ulipigwa mchezo wa tano wa Kombe la Mapinduzi na watatu kwa Kundi B lenye timu za Yanga, Azam FC, Mtibwa Sugar na Mafunzo ya jeshi la magereza visiwani Zanzibar. Mchezo wa mchana wa January 5 ulizikutanisha […]
The post Cheki pichaz na matokeo ya Mtibwa Sugar walivyowaadhibu wajelajela wa Zanzibar … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa
Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]
The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz)
Michuano ya Kombe la Mapinduzi imeendelea tena usiku wa January 3 baada ya kuchezwa mchezo wa awali kati ya Dar Es Salaam Young African ya Tanzania bara dhidi ya Mafunzo FC ya visiwani Zanzibar, baada ya mchezo huo kupigwa na Yanga kuibuka na ushindi wa 3-0. Usiku wa January 3 ulichezwa mchezo wa pili wa […]
The post Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26
Ligi Kuu soka Tanzania imeendelea uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kwa Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Dar Es Salaam Young Africans kuwakaribisha wagonga nyundo wa jiji la Mbeya klabu ya Mbeya City. Huu ni mchezo wa 13 kwa klabu ya Yanga ambao ndio wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi. Yanga ambao ndio wanatajwa kuwa […]
The post Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26 appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Cheki pichaz na matokeo ya mchezo wa kukamiana wa Yanga na Azam FC Kombe la Mapinduzi
Bado burudani ya soka ipo Zanzibar kwa kuendelea kuchezwa michezo ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi B mchana wa January 5 kwa kuzikutanisha timu za Mafunzo ya Zanzibar na Mtibwa Sugar ya Morogoro na mchezo kumalizika kwa Mtibwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0. Usiku wa January 5 ulichezwa […]
The post Cheki pichaz na matokeo ya mchezo wa kukamiana wa Yanga na Azam FC Kombe la Mapinduzi appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Mtibwa Sugar yarudi kileleni, Coastal Union yashikwa Tanga