Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26
Ligi Kuu soka Tanzania imeendelea uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kwa Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Dar Es Salaam Young Africans kuwakaribisha wagonga nyundo wa jiji la Mbeya klabu ya Mbeya City. Huu ni mchezo wa 13 kwa klabu ya Yanga ambao ndio wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi. Yanga ambao ndio wanatajwa kuwa […]
The post Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26 appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Hivi ndivyo Azam FC walivyoendeleza ubabe katika uwanja wao wa Chamazi dhidi ya Kagera, Cheki pichaz …
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena kwa michezo miwili kupigwa, Mwanza ulichezwa mchezo wa Toto Africans dhidi ya African Sports ya Tanga, wakati Dar Es Salaam katika dimba la Azam Complex Chamazi, kulikuwa kuna mchezo wa kuvutia kati ya Azam FC dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC ambao walikuwa katika uwanja wao wa nyumbai […]
The post Hivi ndivyo Azam FC walivyoendeleza ubabe katika uwanja wao wa Chamazi dhidi ya Kagera, Cheki pichaz … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Stand United wakutana na kipigo cha hat-trick ya Tambwe, cheki matokeo ya Ligi Kuu December 19 (+Pichaz)
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 19 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Tanzania. Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Dar Es Salaam Young African waliwakaribisha Stand United chama la wana kucheza mchezo wao wa 12 wa Ligi. Mchezo ulianza kwa Yanga kumiliki […]
The post Stand United wakutana na kipigo cha hat-trick ya Tambwe, cheki matokeo ya Ligi Kuu December 19 (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 30 kwa mchezo mmoja wa kiporo kumaliziwa katika dimba la Azam Complex Mbande Chamazi. Huu ni mchezo ambao ulikuwa unakutanisha timu ambazo zinatafuta nafasi ya kusogelea kuelekea kileleni mwa msimamo wa Ligi. Mchezo wa December 30 ulikuwa unazikutanisha timu ya Azam FC dhidi ya klabu ya […]
The post Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30 appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Cheki pichaz na matokeo ya mchezo wa kukamiana wa Yanga na Azam FC Kombe la Mapinduzi
Bado burudani ya soka ipo Zanzibar kwa kuendelea kuchezwa michezo ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi B mchana wa January 5 kwa kuzikutanisha timu za Mafunzo ya Zanzibar na Mtibwa Sugar ya Morogoro na mchezo kumalizika kwa Mtibwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0. Usiku wa January 5 ulichezwa […]
The post Cheki pichaz na matokeo ya mchezo wa kukamiana wa Yanga na Azam FC Kombe la Mapinduzi appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Michuzi18 Jan
ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Cheki video ya dakika 2 za Yaya Toure na Sergio Aguero walivyobadili matokeo ya mechi dhidi ya Watford
January 2 michezo ya Ligi Kuu Uingereza iliendelea ila mchezo kati ya Watford FC dhidi ya Man City ndio ulihitimisha michezo ya Ligi Kuu Uingereza kwa siku ya Jumamosi ya January 2. Man City walikuwa wageni wa Watford katika dimba la Vicarage Road. Mtu wangu wa nguvu Man City walifanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya […]
The post Cheki video ya dakika 2 za Yaya Toure na Sergio Aguero walivyobadili matokeo ya mechi dhidi ya Watford appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Cheki video ya magoli ya Azam FC dhidi ya Yanga katika mechi ambayo ilikuwa ya kukamiana …
Mtu wangu wa nguvu kama kawaida naendelea kukusogezea kila kitu kinachonifikia kutoka Zanzibar katika michuano ya Kombe la Mapinduzi. Usiku wa January 5 ulipigwa mchezo wa nne wa Kundi B kwa kuzikutanisha timu za Yanga dhidi ya Azam FC katika dimba la Amaan. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusoogezee video ya magoli ya mchezo huo […]
The post Cheki video ya magoli ya Azam FC dhidi ya Yanga katika mechi ambayo ilikuwa ya kukamiana … appeared first on TZA_MillardAyo.