ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Azam FC, Mbeya City zimetia fora Ligi Kuu
KAMPENI ya miamba 14 kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara iliyoanza Agosti 24, mwaka jana, imefikia tamati mwishoni mwa wiki. Ligi hiyo imehitimishwa kwa rekodi ya aina...
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26
Ligi Kuu soka Tanzania imeendelea uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kwa Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Dar Es Salaam Young Africans kuwakaribisha wagonga nyundo wa jiji la Mbeya klabu ya Mbeya City. Huu ni mchezo wa 13 kwa klabu ya Yanga ambao ndio wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi. Yanga ambao ndio wanatajwa kuwa […]
The post Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26 appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Ruvu shooting yajinoa kwa Ligi Kuu 2014/15
TIMU ya Ruvu Shooting ya Pwani, inatarajia kuingia kambini leo kuhakikisha inafanya vizuri katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2014/2015. Shooting iliyomaliza msimu uliopita ikiwa nafasi ya sita,...