Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtibwa Sugar yarudi kileleni, Coastal Union yashikwa Tanga

Mtibwa Sugar imereja kileleni mwa Ligi Kuu pamoja na kulazimishwa sare 1-1 na JKT Ruvu jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Coastal Union kukabili Mtibwa Sugar J’mosi

TIMU ya Coastal Union ya Tanga  ‘Wagosi wa Kaya’ Jumamosi wiki hii wanatarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Mkwakwani kama sehemu ya kujiandaa na...

 

9 years ago

MillardAyo

Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 30 kwa mchezo mmoja wa kiporo kumaliziwa katika dimba la Azam Complex Mbande Chamazi. Huu ni mchezo ambao ulikuwa unakutanisha timu ambazo zinatafuta nafasi ya kusogelea kuelekea kileleni mwa msimamo wa Ligi. Mchezo wa December 30 ulikuwa unazikutanisha timu ya Azam FC dhidi ya klabu ya […]

The post Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Coastal Union kujiuliza kwa Kagera Sugar

Coastal Union haijawahi kushinda katika michezo sita iliyocheza hadi sasa na itabidi iingie uwanjani leo kusaka ushindi wake wa kwanza mbele ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga.

 

9 years ago

Michuzi

UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umewaomba radhi TFF na wadau wa soka


UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umewaomba radhi wadau wa soka pamoja na shirikisho la soka nchini (TFF) kwa vurugu zilizotokea

 kwenye mchezo wa baina yake na Mbeya City uliofanyika mwishoni mwawiki uwanja wa CCM Mkwakwani.
Mchezo huo wa ligi kuu Vodacom ulimalizika kwa  vurugu hadi kikosi chakutuliza ghasia kilipoingilia kati na kutumia mabomu ya machozikuwatawanya mashabiki wa soka waliokuwepo katika uwanja wa Mkwakwani.
Vurugu hizo zilitokea kufuatia mwamuzi,Erick Enock kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

MAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION

MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988,Coastal Union,Wagosi wa Kaya imeingia mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Jackson Mayanja ambaye ni raia wa Uganda kuifundisha timu ya Coastal Union katika msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara itakayoanza Mwezi Agosti mwaka huu . Utiliaji wa saini wa Kocha huyo ulifanyika leo  mjiniTanga  na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa timu ya Coastal Union akiwemo Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Albert Peter na...

 

10 years ago

Michuzi

COASTAL UNION YAPATA MAPOKEZI MAKUBWA JIJINI TANGA IKITOKEA PEMBA ILIKOWEKA KAMBI KUJIANDAA NA LIGI KUU


Askari wa usalama barabarani akiongoza msururu wa mashabiki wa Coastal Union ilipowasili jijini Tanga ikitokea Pemba ilikoweka kambi ya mwezi mzima kujiandaa na ligi kuu ya VODACOM

Mashabiki wa Tanga wakiipokea timu yao ya Coastal UnionMKUU wa wilaya ya Tanga, Mhe Halima Dendego leo ameongoza mapokezi ya timu ya Coastal Union yaliyofanyika kwenye uwanja wa Ndege jijini Tanga ambapo timu hiyo ilikuwa ikitokea Visiwani Pemba ilipokuwa imeweka kambi kwa muda wa mwezi mzima.Akizungumza wakati wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI TANGA.



MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union unatarajiwa kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi mjini  Tanga.

Sababu za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi la Polisi Mesi ni

kutokana na makao makuu ya klabu ya Coastal Union kuendelea mchakato wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa na upigaji picha wananchikwa ajili ya vitambulisho hivyo.

Akizungumza leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga  alisema maandalizi ya mkutano huo yanaendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani