Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coastal Union kujiuliza kwa Kagera Sugar

Coastal Union haijawahi kushinda katika michezo sita iliyocheza hadi sasa na itabidi iingie uwanjani leo kusaka ushindi wake wa kwanza mbele ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Coastal Union kukabili Mtibwa Sugar J’mosi

TIMU ya Coastal Union ya Tanga  ‘Wagosi wa Kaya’ Jumamosi wiki hii wanatarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Mkwakwani kama sehemu ya kujiandaa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtibwa Sugar yarudi kileleni, Coastal Union yashikwa Tanga

Mtibwa Sugar imereja kileleni mwa Ligi Kuu pamoja na kulazimishwa sare 1-1 na JKT Ruvu jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Coastal Union yanawa kwa Boban, Nyosso

KLABU ya Coastal Union ya Tanga, imesema haina mpango wa kuwaongezea mkataba nyota wake Haruna Moshi ‘Boban’ na Juma Nyosso baada ya kwisha kwa mikataba yao ya awali. Ofisa Habari...

 

9 years ago

Mwananchi

Coastal Union yaomba radhi kwa vurugu

Klabu ya Coastal Union imewaomba radhi wadau pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa vurugu zilizotokea katika mchezo wao dhidi ya Mbeya City uliofanyika Jumamosi.

 

11 years ago

Michuzi

YANGA YAKUNG'UTWA NA KAGERA SUGAR BAO MOJA KWA NUNGE

Timu ya Yanga leo imefungwa 1-0 na Kagera Sugar katika Uwanja wa Kaitaba katika Ligi Kuu ya Vodacom, mjini Bukoba, Kagera.


Na Faustine Ruta, BukobaKlabu ya Dar es salaam Young Afrika imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao Kagera Sugar kwenye mchezo uliopigwa ndani ya Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba.Kipindi cha kwanza Timu zote mbili zilimaliza bila ya kufungana, Kipindi cha pili Kagera Sugar walitumia faida ya kucheza nyumbani na kufanikiwa kupata bao lililofungwa kiufundi na paul...

 

5 years ago

Michuzi

MATOKEO YA SARE NNE MFULULIZO KWA TIMU YA YANGA YAPOTEZA MATUMAINI YA MBIO ZA UBINGWA...YATOA TENA SARE KWA COASTAL UNION ...


Yassir Simba, Michuzi Tv

MATUMAINIA ya timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwamo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu yamezidi kuyeyuka baada ya mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union a.k.a Wagosi Wakaya kumaliza kwa sare ya bila kufungana.

Mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union umefanyika leo Februari  23 mwaka huu wa 2020 ambapo kila timu ilionekana kuhitaji kuibuka na ushindi wa alama tatu lakini hadi dakika 90 zimalizika wamemaliza kwa kupata...

 

11 years ago

Michuzi

STAND UNITED WATUA BUKOBA! WAFANYA MAZOEZI KAITABA TAYARI KWA KUUMANA NA KAGERA SUGAR KESHO JUMAMOSI

Wachezaji wa Stand United wakifanya mazoezi yao ya Mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini tayari kwa kuumana na Wenyeji wao Kagera Sugar kesho Jumamosi tarehe 18, 2014
Na Faustine Ruta, BukobaJumla ya wachezaji 26 wa Timu ya Stand United ya Shinyanga wametua mjini Bukoba leo  kwa ajili ya kipute cha Ligi kuu ya  Vodacom msimu wa 2014-15 na  wenyeji wao Kagera Sugar wamefanya mazoezi yao kwa mara ya kwanza Kagera kwenye Uwanja wa Kaitaba.Wachezaji hao, wakiongozwa na Kocha Mkuu Emmanuel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani