Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coastal Union yanawa kwa Boban, Nyosso

KLABU ya Coastal Union ya Tanga, imesema haina mpango wa kuwaongezea mkataba nyota wake Haruna Moshi ‘Boban’ na Juma Nyosso baada ya kwisha kwa mikataba yao ya awali. Ofisa Habari...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Boban atemwa rasmi Coastal Union

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Lucy Mgina
UONGOZI wa Coastal Union umesema hautamuongeza mkataba mshambuliaji Haruna Moshi ‘Boban’ kutokana na kuwa na utovu wa nidhamu.   Akizungumza na Championi Jumatatu, Makamu Mwenyekiti wa Coastal, Steven Mnguto, alisema mpaka sasa mshambuliaji huyo hajaripoti kambini kuanza mazoezi na wenzake na hajatoa taarifa yoyote. Alisema kwa tabia ambayo ameionyesha ni ngumu...

 

11 years ago

GPL

Boban: Naondoka Coastal

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Haruna Moshi ‘Boban’, huenda  asiongeze mkataba katika kikosi chake hicho. Boban alitua Coastal Union msimu huu mwanzoni baada ya kumaliza mkataba wake na Simba msimu uliopita na kufanikiwa kupewa mkataba wa mwaka mmoja ambao unakaribia kumalizika.
Chanzo cha karibu cha mchezaji huyo, kilisema kuwa kiungo huyo kwa sasa hana...

 

9 years ago

Mwananchi

Coastal Union yaomba radhi kwa vurugu

Klabu ya Coastal Union imewaomba radhi wadau pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa vurugu zilizotokea katika mchezo wao dhidi ya Mbeya City uliofanyika Jumamosi.

 

9 years ago

Mwananchi

Coastal Union kujiuliza kwa Kagera Sugar

Coastal Union haijawahi kushinda katika michezo sita iliyocheza hadi sasa na itabidi iingie uwanjani leo kusaka ushindi wake wa kwanza mbele ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga.

 

5 years ago

Michuzi

MATOKEO YA SARE NNE MFULULIZO KWA TIMU YA YANGA YAPOTEZA MATUMAINI YA MBIO ZA UBINGWA...YATOA TENA SARE KWA COASTAL UNION ...


Yassir Simba, Michuzi Tv

MATUMAINIA ya timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwamo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu yamezidi kuyeyuka baada ya mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union a.k.a Wagosi Wakaya kumaliza kwa sare ya bila kufungana.

Mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union umefanyika leo Februari  23 mwaka huu wa 2020 ambapo kila timu ilionekana kuhitaji kuibuka na ushindi wa alama tatu lakini hadi dakika 90 zimalizika wamemaliza kwa kupata...

 

9 years ago

Habarileo

Coastal Union yazama 1-0

TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.

 

10 years ago

Raia Mwema

Nilichoshuhudia uchaguzi Coastal Union

MWALIMU wangu Ernest Sungura, aliwahi kunifundisha kuwa mwandishi wa makala hatumii nafsi ya kwan

Hafidh Kido

 

11 years ago

Tanzania Daima

Coastal Union yajivunia Chipo

UONGOZI wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, umemmwagia sifa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Yusuph Chipo, kutokana na uwezo wake kiutendaji aliouonesha kwa kipindi kifupi ambacho amekabidhiwa majukumu. Akizungumza...

 

9 years ago

Habarileo

Kaseja atua Coastal Union

GOLIKIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesajiliwa na Coastal Union ya Tanga na ameanza mazoezi. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tanga jana, msemaji wa Coastal Union, Oscar Assenga alikiri ujio wa Kaseja kwenye timu hiyo lakini akasema hajasajiliwa na kwamba wapo kwenye mazungumzo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani