Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coastal Union yazama 1-0

TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Coastal Union yamfungia Banda

Klabu ya Coastal Union ya Tanga imemfungia beki Abdi Bamba kucheza soka ndani na nje ya nchi kwa mwaka mmoja baada ya kutangazwa kusaini mkataba wa kuichezea Simba.

 

10 years ago

Raia Mwema

Nilichoshuhudia uchaguzi Coastal Union

MWALIMU wangu Ernest Sungura, aliwahi kunifundisha kuwa mwandishi wa makala hatumii nafsi ya kwan

Hafidh Kido

 

9 years ago

Habarileo

Kaseja atua Coastal Union

GOLIKIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesajiliwa na Coastal Union ya Tanga na ameanza mazoezi. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tanga jana, msemaji wa Coastal Union, Oscar Assenga alikiri ujio wa Kaseja kwenye timu hiyo lakini akasema hajasajiliwa na kwamba wapo kwenye mazungumzo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Coastal Union yajivunia Chipo

UONGOZI wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, umemmwagia sifa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Yusuph Chipo, kutokana na uwezo wake kiutendaji aliouonesha kwa kipindi kifupi ambacho amekabidhiwa majukumu. Akizungumza...

 

10 years ago

TheCitizen

Cannavaro aizamisha Coastal Union

Bao la nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’ limetosha kuiweka Yanga kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya kwanza mwaka huu wakichapa Coastal Union 1-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Coastal Union ipo imara

Klabu ya Coastal Union imesema haitatetereka kama inavyodaiwa na baadhi ya wasiopenda maendeleo yake kwa kuwa ni kongwe na yenye mipango endelevu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaipa kichapo Coastal Union 8-0

Yanga sasa hii sifa,imeifunga timu ya Coastal Union 8-0 katika mechi ya ligi kuu Tanzania Bara .

 

10 years ago

Michuzi

"MESSI" WA SIMBA ATUA COASTAL UNION

  Meneja wa timu ya Coastal Union,Akida Machai kushoto akimkabidhi Jezi ya Klabu ya Coastal Union winga mpya wa Kulia,Ibrahim Twaha "Messi"mara baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo. winga wa kulia Mpya wa Coastal Union Ibrahim Twaha " Messi" akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Coastal Union kulia ni Katibu Mkuu,Kassim El Siagi kushoto ni Meneja wa timu ya Coastal Union Akida MachaiTIMU ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kufanya usajili wa nguvu...

 

10 years ago

GPL

YANGA SC YAIFUNGA COASTAL UNION MABAO 8-0

Muonekano wa TV ya Uwanja wa Taifa baada ya mechi. Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman TIMU ya Yanga SC imeifunga Coastal Union mabao 8-0. Wafungaji Amiss Tambwe amefunga manne, Msuva mawili, Telela, Sherman. Mechi imemalizika Uwanja wa Taifa. Yanga SC: Ally Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul, Oscar Joshua/Edward Charles dk77, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Mbuyu Twite/Hassan Dilunga… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani