Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


"MESSI" WA SIMBA ATUA COASTAL UNION

  Meneja wa timu ya Coastal Union,Akida Machai kushoto akimkabidhi Jezi ya Klabu ya Coastal Union winga mpya wa Kulia,Ibrahim Twaha "Messi"mara baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo. winga wa kulia Mpya wa Coastal Union Ibrahim Twaha " Messi" akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Coastal Union kulia ni Katibu Mkuu,Kassim El Siagi kushoto ni Meneja wa timu ya Coastal Union Akida MachaiTIMU ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kufanya usajili wa nguvu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MESI WA SIMBA ATUA COASTAL UNION

Meneja wa timu ya Coastal Union,Akida Machai kushoto akimkabidhi Jezi ya Klabu ya Coastal Union winga mpya wa Kulia,Ibrahim Twaha "Messi"mara baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo.
Winga wa kulia Mpya wa Coastal Union Ibrahim Twaha " Messi" akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Coastal Union kulia ni Katibu Mkuu,Kassim El Siagi kushoto ni Meneja wa timu ya Coastal Union Akida Machai


TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kufanya usajili wa nguvu ili ...

 

9 years ago

Habarileo

Kaseja atua Coastal Union

GOLIKIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesajiliwa na Coastal Union ya Tanga na ameanza mazoezi. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tanga jana, msemaji wa Coastal Union, Oscar Assenga alikiri ujio wa Kaseja kwenye timu hiyo lakini akasema hajasajiliwa na kwamba wapo kwenye mazungumzo.

 

10 years ago

Michuzi

Jamhuri Kiwelu "Julio" atua Coastal Union

Kocha Msaidizi wa Timu ya Coastal Union,Jamhuri Kiwelu "Julio" (wa pili kulia waliosimama) akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu hiyo wakati wa mazoezi mara baada ya kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo akisaidiana na Kocha Mkuu James Nandwa ( wa nne kushoto).wengine pichani ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union,Albert Peter,Katibu Mkuu Coastal Union,Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal Union Akida Machai.Kocha Msaidizi wa Coastal Union ,Jamhuri Kiwelu "Julio"akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

Mnigeria wa Stand United Abasarim Chidiebele atua Coastal Union

MSHAMBULIAJI wa timu ya Stand United, Abasarim Chidiebele akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tanga leo mara baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuitumikia timu ya Coastal Union.Habari na picha na 
Mwandishi wetu, Tanga
SHAMBULIAJI wa timu ya Stand United,Abasarim Chidiebele amesaini mkataba wa kuitumikia timu ya Coastal Union kwa mkataba wa miaka mmoja katika msimu ujao wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.Chidiebele atua mkoani Tanga juzi kwa ajili ya kuingia makubaliana na...

 

10 years ago

Michuzi

MAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION

MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988,Coastal Union,Wagosi wa Kaya imeingia mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Jackson Mayanja ambaye ni raia wa Uganda kuifundisha timu ya Coastal Union katika msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara itakayoanza Mwezi Agosti mwaka huu . Utiliaji wa saini wa Kocha huyo ulifanyika leo  mjiniTanga  na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa timu ya Coastal Union akiwemo Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Albert Peter na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Simba, Coastal Union zatunziana heshima

MESSI

Karate, au soka? Kiungo wa Simba SC, Ramadhani SIngano ‘Messi’ katikati ya wachezaji wa Coastal, Sabri Rashid kulia na Ayoub Yahya katika mchezo wa leo.(Picha kwa hisani ya Bin Zubeiry Blog).

Na MOblog Team

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba,  walianza kwa kishindo kampeni ya Ligi Kuu Tanzania bara, baada ya kuwatandika Coastal Union ya Tanga mabao 2-0 katika mechi ya kuvutia iliyochezwa Uwanja wa Taifa, jinini Dar es Salaam.

Mechi hiyo ya kukamilisha raundi ya kwanza ya ligi hiyo iliyoanza juzi...

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA YAPEPESUKA, YADUNGWA 1-0 NA COASTAL UNION

Wachezaji wa Simba wakiingia uwanjani wakati wa mchezo wao na Coastal Union ya Tanga. Wachezaji wakisalimiana.  Benchi la ufundi la Simba.  Kikosi cha Coastal Union ya Tanga.  Kikosi cha Simba.  Mashabiki wa Simba wakishangilia timu yao. Mashabiki wa Simba wakichagiza ushindi.  Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Coastal Union ya Tanga, Hamadi Juma katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa...

 

10 years ago

GPL

SIMBA YATOKA SARE NA COASTAL UNION TAIFA

Kikosi cha wachezaji wa Simba kilichoanza katika mchezo wa leo Kikosi cha wachezaji wa Coastal Union kilichoanza katika mchezo wa leo…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani