Mnigeria wa Stand United Abasarim Chidiebele atua Coastal Union
MSHAMBULIAJI wa timu ya Stand United, Abasarim Chidiebele akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tanga leo mara baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuitumikia timu ya Coastal Union.Habari na picha na
Mwandishi wetu, Tanga
SHAMBULIAJI wa timu ya Stand United,Abasarim Chidiebele amesaini mkataba wa kuitumikia timu ya Coastal Union kwa mkataba wa miaka mmoja katika msimu ujao wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.Chidiebele atua mkoani Tanga juzi kwa ajili ya kuingia makubaliana na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo16 Aug
Kaseja atua Coastal Union
GOLIKIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesajiliwa na Coastal Union ya Tanga na ameanza mazoezi. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tanga jana, msemaji wa Coastal Union, Oscar Assenga alikiri ujio wa Kaseja kwenye timu hiyo lakini akasema hajasajiliwa na kwamba wapo kwenye mazungumzo.
10 years ago
VijimamboMESI WA SIMBA ATUA COASTAL UNION
Winga wa kulia Mpya wa Coastal Union Ibrahim Twaha " Messi" akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Coastal Union kulia ni Katibu Mkuu,Kassim El Siagi kushoto ni Meneja wa timu ya Coastal Union Akida Machai
TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kufanya usajili wa nguvu ili ...
10 years ago
Michuzi"MESSI" WA SIMBA ATUA COASTAL UNION
10 years ago
MichuziJamhuri Kiwelu "Julio" atua Coastal Union
10 years ago
MichuziMAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION
11 years ago
Mwananchi25 May
Taita atua Coastal
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Yanga, Coastal, Stand zairuka kamati ya TFF
9 years ago
Habarileo02 Sep
Coastal Union yazama 1-0
TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.