SIMBA YAPEPESUKA, YADUNGWA 1-0 NA COASTAL UNION
Wachezaji wa Simba wakiingia uwanjani wakati wa mchezo wao na Coastal Union ya Tanga.
Wachezaji wakisalimiana.
Benchi la ufundi la Simba.
Kikosi cha Coastal Union ya Tanga.
Kikosi cha Simba.
Mashabiki wa Simba wakishangilia timu yao.
Mashabiki wa Simba wakichagiza ushindi.
Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Coastal Union ya Tanga, Hamadi Juma katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMESI WA SIMBA ATUA COASTAL UNION
Winga wa kulia Mpya wa Coastal Union Ibrahim Twaha " Messi" akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Coastal Union kulia ni Katibu Mkuu,Kassim El Siagi kushoto ni Meneja wa timu ya Coastal Union Akida Machai
TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kufanya usajili wa nguvu ili ...
10 years ago
Michuzi"MESSI" WA SIMBA ATUA COASTAL UNION
10 years ago
Dewji Blog21 Sep
Simba, Coastal Union zatunziana heshima
Karate, au soka? Kiungo wa Simba SC, Ramadhani SIngano ‘Messi’ katikati ya wachezaji wa Coastal, Sabri Rashid kulia na Ayoub Yahya katika mchezo wa leo.(Picha kwa hisani ya Bin Zubeiry Blog).
Na MOblog Team
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba, walianza kwa kishindo kampeni ya Ligi Kuu Tanzania bara, baada ya kuwatandika Coastal Union ya Tanga mabao 2-0 katika mechi ya kuvutia iliyochezwa Uwanja wa Taifa, jinini Dar es Salaam.
Mechi hiyo ya kukamilisha raundi ya kwanza ya ligi hiyo iliyoanza juzi...
10 years ago
GPLSIMBA YATOKA SARE NA COASTAL UNION TAIFA
10 years ago
TheCitizen19 Aug
SOCCER: Coastal Union beat Simba SC to sign Gor ace