Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YATOKA SARE NA COASTAL UNION TAIFA

Kikosi cha wachezaji wa Simba kilichoanza katika mchezo wa leo Kikosi cha wachezaji wa Coastal Union kilichoanza katika mchezo wa leo…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Survey Veterani yatoka sare na Coastal union U-20, yawakubali NSSF


 Kikosi cha Timu Ya Survey wakiwa katika picha ya pamoja. Wachezaji wa Survey Veterani wakiwa katika picha ya
pamoja Wachezaji wa Coastal U 20  kabla ya mechi.
Mchezaji wa Timu ya Survey Veterani Hamad Shaweji
akimtoka mchezaji wa Coastal Union U 20  katika mashindano ya kilele cha nane nanae yaiyofanyika viwanja vya mkwakwani Jijini Tanga.

NA ELIZABETH KILINDI, TANGA
TIMU ya Survey Veteran ya jijini Dar es Salaamu, Jumapili iliyopita ilivuna sare ya bao 1-1 dhidi ya kikosi cha vijana wa chini...

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA COAST UNION,YATOKA SARE YA BAO 2-2

Mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe akiifungia timu yake bao la pili wakati timu hiyo ilipopambana na Coast Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.
 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Coast Union, Abdallah Mfuko.Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akiruka daruga la beki wa Coast Union. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

MATOKEO YA SARE NNE MFULULIZO KWA TIMU YA YANGA YAPOTEZA MATUMAINI YA MBIO ZA UBINGWA...YATOA TENA SARE KWA COASTAL UNION ...


Yassir Simba, Michuzi Tv

MATUMAINIA ya timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwamo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu yamezidi kuyeyuka baada ya mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union a.k.a Wagosi Wakaya kumaliza kwa sare ya bila kufungana.

Mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union umefanyika leo Februari  23 mwaka huu wa 2020 ambapo kila timu ilionekana kuhitaji kuibuka na ushindi wa alama tatu lakini hadi dakika 90 zimalizika wamemaliza kwa kupata...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMATI YA UTENDAJI YA COASTAL UNION,SASA YATOKA NA MAAMUZI MAZITO”




KIKAO cha Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Coastal Union kilichoketi juzi kwa saa tatu kilitoka na mapendekezo wa kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo,Jackson Mayanja kutokana na kutokuwepo kwa mwenendo wa matokeo mazuri kwa timu hiyo tokea alipokabidhiwa. 
Kocha Mayanja alikabidhiwa kikosi hicho cha Wagosi wa Kaya baada ya kumalizika msimu wa ligi kuu uliopita akichukua mikoba ya Jamhuri Kihwelu “Julio” ambaye aliinusuru timu hiyo na kushuka daraja ikimaliza ikiwa nafasi tano za juu...

 

9 years ago

Michuzi

COASTAL UNION, JKT RUVU ZATOKA SARE YA 2-2

Golikipa wa JKT Ruvu, Shaban Dihile akipishana na mpira uliopigwa na mchezaji wa Coastal Union, Nassoro Kapama katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2. (Picha na Francis Dande)
 Issa Ngao (kushoto), akimtoka mchezaji wa Coastal Union ya Tanga.
  Hamis Shango (kushoto) akichuana na Chidiebere Abasalim.
 Mchezaji wa Coastal Union ya Tanga, Chidiebere Abasalim (katikati) akiwania mpira na...

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOKA SARE NA MSUMBIJI

 Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Msumbiji katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji. 
Mshambuliaji nyota wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akiwa katikati ya mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji. 

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Msumbiji, Zainadine Junior katika mchezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani