YANGA SC YAIFUNGA COASTAL UNION MABAO 8-0

Muonekano wa TV ya Uwanja wa Taifa baada ya mechi. Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman TIMU ya Yanga SC imeifunga Coastal Union mabao 8-0. Wafungaji Amiss Tambwe amefunga manne, Msuva mawili, Telela, Sherman. Mechi imemalizika Uwanja wa Taifa. Yanga SC: Ally Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul, Oscar Joshua/Edward Charles dk77, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Mbuyu Twite/Hassan Dilunga… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Mtanzania21 Aug
Yanga, Coastal Union ngoma droo

Kikosi cha Yanga
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
HAKUNA mbabe, unaweza kusema hivyo baada ya klabu ya Yanga na Coastal Union kuamua yaishe kwa kupokezana Uwanja wa Gombani, Chake chake Pemba kwa ajili ya kufanya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajia kuanza Septemba 20.
Timu hizo zote zimejikuta zikiwa na vibali vya kuutumia uwanja huo kwa ajili ya maandalizi hayo, ambapo kila mmoja alishindwa kumuachia mwenzake hadi walipoamua kuafikiana.
Kutokana na kuafikiana huko, Coast...
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Yanga yaipa kichapo Coastal Union 8-0
10 years ago
MichuziYANGA ILIVYOICHAKAZA COASTAL UNION BAO 8 MTUNGI
10 years ago
TheCitizen14 Sep
PREMIER LEAGUE : Yanga too good for Coastal Union
10 years ago
MichuziSIMBA YAIFUNGA COASTAL UNIO 1-0
5 years ago
Michuzi
MATOKEO YA SARE NNE MFULULIZO KWA TIMU YA YANGA YAPOTEZA MATUMAINI YA MBIO ZA UBINGWA...YATOA TENA SARE KWA COASTAL UNION ...
Yassir Simba, Michuzi Tv
MATUMAINIA ya timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwamo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu yamezidi kuyeyuka baada ya mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union a.k.a Wagosi Wakaya kumaliza kwa sare ya bila kufungana.
Mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union umefanyika leo Februari 23 mwaka huu wa 2020 ambapo kila timu ilionekana kuhitaji kuibuka na ushindi wa alama tatu lakini hadi dakika 90 zimalizika wamemaliza kwa kupata...
10 years ago
Habarileo02 Sep
Coastal Union yazama 1-0
TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo16 Aug
Kaseja atua Coastal Union
GOLIKIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesajiliwa na Coastal Union ya Tanga na ameanza mazoezi. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tanga jana, msemaji wa Coastal Union, Oscar Assenga alikiri ujio wa Kaseja kwenye timu hiyo lakini akasema hajasajiliwa na kwamba wapo kwenye mazungumzo.