Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga, Coastal Union ngoma droo

Kikosi cha Yanga

Kikosi cha Yanga

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

HAKUNA mbabe, unaweza kusema hivyo baada ya klabu ya Yanga na Coastal Union kuamua yaishe kwa kupokezana Uwanja wa Gombani, Chake chake Pemba kwa ajili ya kufanya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajia kuanza Septemba 20.

Timu hizo zote zimejikuta zikiwa na vibali vya kuutumia uwanja huo kwa ajili ya maandalizi hayo, ambapo kila mmoja alishindwa kumuachia mwenzake hadi walipoamua kuafikiana.

Kutokana na kuafikiana huko, Coast...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YANGA SC YAIFUNGA COASTAL UNION MABAO 8-0

Muonekano wa TV ya Uwanja wa Taifa baada ya mechi. Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman TIMU ya Yanga SC imeifunga Coastal Union mabao 8-0. Wafungaji Amiss Tambwe amefunga manne, Msuva mawili, Telela, Sherman. Mechi imemalizika Uwanja wa Taifa. Yanga SC: Ally Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul, Oscar Joshua/Edward Charles dk77, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Mbuyu Twite/Hassan Dilunga… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaipa kichapo Coastal Union 8-0

Yanga sasa hii sifa,imeifunga timu ya Coastal Union 8-0 katika mechi ya ligi kuu Tanzania Bara .

 

10 years ago

GPL

YANGA VS AZAM NGOMA DROO, WATOKA SARE YA 2-2

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Azam FC. Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwa kazini wakati wa mechi ya leo dhidi ya Azam FC. TIMU za Yanga na Azam FC leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 2-2 kwenye mtanange wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam yamewekwa kimiani na Didier Kavumbagu katika dakika ya 5… ...

 

10 years ago

Michuzi

YANGA ILIVYOICHAKAZA COASTAL UNION BAO 8 MTUNGI

Kiungo wa Yanga, Salum Telela, akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 8-0. (Picha na Francis Dande). Simon Msuva akishangilia bao aliloifungia timu yake.Wachezaji wa Yanga wakishangilia.Haruna Niyonzima akiruka kihunzi cha, Hamoud Abdulhalim.Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Coastal Union.Mwamuzi wa mchezo kati ya Yanga na Coastal Union ya Tanga,...

 

9 years ago

TheCitizen

PREMIER LEAGUE : Yanga too good for Coastal Union

The Mainland Vodacom Premier League champions Young Africans yesterday started their title defence on a high note, after securing a 2-0 win over Coastal Union of Tanga at the National Stadium in Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

MATOKEO YA SARE NNE MFULULIZO KWA TIMU YA YANGA YAPOTEZA MATUMAINI YA MBIO ZA UBINGWA...YATOA TENA SARE KWA COASTAL UNION ...


Yassir Simba, Michuzi Tv

MATUMAINIA ya timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwamo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu yamezidi kuyeyuka baada ya mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union a.k.a Wagosi Wakaya kumaliza kwa sare ya bila kufungana.

Mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union umefanyika leo Februari  23 mwaka huu wa 2020 ambapo kila timu ilionekana kuhitaji kuibuka na ushindi wa alama tatu lakini hadi dakika 90 zimalizika wamemaliza kwa kupata...

 

9 years ago

Habarileo

Coastal Union yazama 1-0

TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.

 

11 years ago

GPL

STARS, MAMBAZ NGOMA DROO

TIMU ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' imetoshana nguvu na timu ya Taifa ya Msumbiji 'Mambaz' katika mechi ya  kufuzu Kombe la Mataifa Afrika 2015 kwa sare ya mabao 2-2. Mechi hiyo iliyokuwa na upinzani mkubwa imepigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Stars yote mawili yamewekwa kimiani na Khamis Mcha dakika ya 65 na 71 kwa mkwaju wa penalti huku ya Mambaz yakifungwa na Elias Pelembe kwa penalti dakika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani