STARS, MAMBAZ NGOMA DROO

TIMU ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' imetoshana nguvu na timu ya Taifa ya Msumbiji 'Mambaz' katika mechi ya kufuzu Kombe la Mataifa Afrika 2015 kwa sare ya mabao 2-2. Mechi hiyo iliyokuwa na upinzani mkubwa imepigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Stars yote mawili yamewekwa kimiani na Khamis Mcha dakika ya 65 na 71 kwa mkwaju wa penalti huku ya Mambaz yakifungwa na Elias Pelembe kwa penalti dakika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
ARSENAL, MAN U NGOMA DROO
11 years ago
GPL
CCM, CHADEMA NGOMA DROO!
11 years ago
Mtanzania21 Aug
Yanga, Coastal Union ngoma droo

Kikosi cha Yanga
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
HAKUNA mbabe, unaweza kusema hivyo baada ya klabu ya Yanga na Coastal Union kuamua yaishe kwa kupokezana Uwanja wa Gombani, Chake chake Pemba kwa ajili ya kufanya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajia kuanza Septemba 20.
Timu hizo zote zimejikuta zikiwa na vibali vya kuutumia uwanja huo kwa ajili ya maandalizi hayo, ambapo kila mmoja alishindwa kumuachia mwenzake hadi walipoamua kuafikiana.
Kutokana na kuafikiana huko, Coast...
10 years ago
Michuzi09 Dec
BUNGE LA TANZANIA NA KENYA NGOMA DROO

10 years ago
GPL
YANGA VS AZAM NGOMA DROO, WATOKA SARE YA 2-2
11 years ago
Mwananchi22 Sep
Man U hoi, Chelsea, City ‘ngoma droo’
11 years ago
GPL
BARNABA, SHILOLE NGOMA DROO AVUTA NDINGA YA MIL.25
9 years ago
MichuziMBEYA CITY NA MGAMBO JKT ZATOKA NGOMA DROO 1-1
11 years ago
GPL
ARSENAL, CHELSEA NGOMA DROO, LIVERPOOL YAENDELEA KUKAA KILELENI