BUNGE LA TANZANIA NA KENYA NGOMA DROO
Wachezaji wa Tanzania na Kenya wakiwa katika mashindano ya wabunge wa jumuiya ya Afrika mashariki leo, katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume jijini Arusha, mechi hiyo ilivuta hisia za wakazi wa jiji hilo waliomiminika kuja kushuhudia wabunge hao wakimenyana uwanjani, baada ya dakika ya tano bunge la kenya walijipatia bao la kwanza, bao lililofungwa na Mh.Steven Nyatta na hatimaye Tanzania kusawazisha dakika ya 24 kwa njia ya penalt baada ya Mh.Mbunge Joshua Nassari kudondoshwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSTARS, MAMBAZ NGOMA DROO
11 years ago
GPLARSENAL, MAN U NGOMA DROO
11 years ago
GPLCCM, CHADEMA NGOMA DROO!
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Yanga, Coastal Union ngoma droo
Kikosi cha Yanga
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
HAKUNA mbabe, unaweza kusema hivyo baada ya klabu ya Yanga na Coastal Union kuamua yaishe kwa kupokezana Uwanja wa Gombani, Chake chake Pemba kwa ajili ya kufanya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajia kuanza Septemba 20.
Timu hizo zote zimejikuta zikiwa na vibali vya kuutumia uwanja huo kwa ajili ya maandalizi hayo, ambapo kila mmoja alishindwa kumuachia mwenzake hadi walipoamua kuafikiana.
Kutokana na kuafikiana huko, Coast...
10 years ago
GPLYANGA VS AZAM NGOMA DROO, WATOKA SARE YA 2-2
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Man U hoi, Chelsea, City ‘ngoma droo’
11 years ago
GPLBARNABA, SHILOLE NGOMA DROO AVUTA NDINGA YA MIL.25
9 years ago
MichuziMBEYA CITY NA MGAMBO JKT ZATOKA NGOMA DROO 1-1
11 years ago
GPLARSENAL, CHELSEA NGOMA DROO, LIVERPOOL YAENDELEA KUKAA KILELENI