MBEYA CITY NA MGAMBO JKT ZATOKA NGOMA DROO 1-1
Mbeya city yatoka sale na Mgambo Jkt kwa mabao ya goli 1-1 ambapo Goli la Timu ya Mbeya City Fc lilifungwa na Abdalla Juma Dakika ya 30 huku Fully Zullu Maganga akisawazisha na kuipatia Goli Timu ya Mgambo Jkt Dakika ya 71 katika Mtanange uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Kikosi cha Timu ya Mgambo Jkt katika Picha ya Pamoja Kabla ya mechi kuanza.
Kikosi cha Timu ya Mbeya City Wakoma Kumwanya.
Mashabiki wa Timu ya Mbeya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Man U hoi, Chelsea, City ‘ngoma droo’
9 years ago
MichuziMBEYA CITY YABUGIZA JKT RUVU GOLI 3-0 MJINI MBEYA
11 years ago
Michuzi15 Feb
SIMBA NA MBEYA CITY DROO 1-1 , LIPULI FC YAICHAPA POLISI MOROGORO 3-1
![](https://3.bp.blogspot.com/-2qrh1ceP8YA/Uv8x_1mdn6I/AAAAAAAAg0Q/TkLW9U36R2Y/s1600/IMG-20140215-WA0004.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9wCgdwCTS7c/VnbT6P9Qt7I/AAAAAAABl4U/Wy_V--QWD-Y/s72-c/Picha%2Bya%2BPg.24%2BDesemba%2B21.jpg)
COASTAL UNION, JKT RUVU ZATOKA SARE YA 2-2
![](http://3.bp.blogspot.com/-9wCgdwCTS7c/VnbT6P9Qt7I/AAAAAAABl4U/Wy_V--QWD-Y/s640/Picha%2Bya%2BPg.24%2BDesemba%2B21.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-x7Eo5ne5Lu8/VnbVkFnBkgI/AAAAAAABl4o/LactEJZxKjw/s640/_MG_2536.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-I8fvMp-o_HI/VnbVrJRrevI/AAAAAAABl40/_V9_tvHa8Uw/s640/_MG_2588.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-OSVt7Sz3sH8/VnbVuzrvXvI/AAAAAAABl48/1pyov-Hr4xI/s640/_MG_2620.jpg)