Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ARSENAL, MAN U NGOMA DROO

Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud akijaribu kuipa ushindi Arsenal bila mafanikio. Kipa wa Arsenal Wojciech Szczesny akiondoa mpira wa kichwa uliopigwa na mshambuliaji wa Man U, Robin Van Persie.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ARSENAL, CHELSEA NGOMA DROO, LIVERPOOL YAENDELEA KUKAA KILELENI

Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kulia) akipiga mpira mbele ya beki wa Chelsea, Gary Cahill. Frank Lampard wa Chelsea (kushoto) akikwaana na Mesut Ozil wa Arsenal wakati wa mchezo wa leo uliomalizika 0-0.…

 

10 years ago

Mwananchi

Man U hoi, Chelsea, City ‘ngoma droo’

Leicester City ilitoka nyuma kwa mabao 3-1 na kuibuka na ushindi wa mabao 5-3 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa jana.

 

11 years ago

GPL

CCM, CHADEMA NGOMA DROO!

Stori: Mwandishi Wetu VITA ni vita! Siku mbili zimekatika tangu sakata la picha ya pozi inayodaiwa kuwa ni ya mheshimiwa Komba na msichana aliyetajwa kwa jina moja la Angel kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari Bongo, lingine limeibuka! Mheshimiwa anayedaiwa kuwa wa Chadema akiwa katika pozi tata na binti ambaye jina lake halikupatikana. Hili la safari hii ni zito pia. Lenyewe linamhusu mheshimiwa mmoja ambaye anadaiwa ni...

 

11 years ago

GPL

STARS, MAMBAZ NGOMA DROO

TIMU ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' imetoshana nguvu na timu ya Taifa ya Msumbiji 'Mambaz' katika mechi ya  kufuzu Kombe la Mataifa Afrika 2015 kwa sare ya mabao 2-2. Mechi hiyo iliyokuwa na upinzani mkubwa imepigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Stars yote mawili yamewekwa kimiani na Khamis Mcha dakika ya 65 na 71 kwa mkwaju wa penalti huku ya Mambaz yakifungwa na Elias Pelembe kwa penalti dakika...

 

10 years ago

Michuzi

BUNGE LA TANZANIA NA KENYA NGOMA DROO

SAM_0616Wachezaji wa Tanzania na Kenya wakiwa katika mashindano ya wabunge wa jumuiya ya Afrika mashariki leo,  katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume jijini Arusha, mechi hiyo ilivuta hisia za wakazi wa jiji hilo waliomiminika kuja kushuhudia wabunge hao wakimenyana uwanjani, baada ya dakika ya tano bunge la kenya walijipatia bao la kwanza, bao lililofungwa na Mh.Steven Nyatta na hatimaye Tanzania kusawazisha dakika ya 24 kwa njia ya penalt baada ya Mh.Mbunge Joshua Nassari kudondoshwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga, Coastal Union ngoma droo

Kikosi cha Yanga

Kikosi cha Yanga

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

HAKUNA mbabe, unaweza kusema hivyo baada ya klabu ya Yanga na Coastal Union kuamua yaishe kwa kupokezana Uwanja wa Gombani, Chake chake Pemba kwa ajili ya kufanya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajia kuanza Septemba 20.

Timu hizo zote zimejikuta zikiwa na vibali vya kuutumia uwanja huo kwa ajili ya maandalizi hayo, ambapo kila mmoja alishindwa kumuachia mwenzake hadi walipoamua kuafikiana.

Kutokana na kuafikiana huko, Coast...

 

10 years ago

GPL

YANGA VS AZAM NGOMA DROO, WATOKA SARE YA 2-2

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Azam FC. Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwa kazini wakati wa mechi ya leo dhidi ya Azam FC. TIMU za Yanga na Azam FC leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 2-2 kwenye mtanange wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam yamewekwa kimiani na Didier Kavumbagu katika dakika ya 5… ...

 

9 years ago

Michuzi

MBEYA CITY NA MGAMBO JKT ZATOKA NGOMA DROO 1-1

 Mbeya city yatoka sale na Mgambo Jkt kwa mabao ya goli 1-1  ambapo  Goli la Timu ya Mbeya City Fc lilifungwa na Abdalla Juma Dakika ya 30 huku Fully Zullu Maganga akisawazisha na kuipatia Goli Timu ya Mgambo Jkt Dakika ya 71 katika Mtanange uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya  katika  muendelezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.Kikosi cha Timu ya Mgambo Jkt katika Picha ya Pamoja Kabla ya mechi kuanza.Kikosi cha Timu ya Mbeya City Wakoma Kumwanya.Mashabiki wa Timu ya Mbeya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani