Boban atemwa rasmi Coastal Union
![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox4prSjNXCK6p1Wf*bjxK7PmpEBL554fucloH4Bldo9oB-gCISx*QMc1SyQhofO81MFlZ6CyiolCv*tCqbJGyh7r/bobani.jpg?width=650)
Haruna Moshi ‘Boban’. Na Lucy Mgina UONGOZI wa Coastal Union umesema hautamuongeza mkataba mshambuliaji Haruna Moshi ‘Boban’ kutokana na kuwa na utovu wa nidhamu.  Akizungumza na Championi Jumatatu, Makamu Mwenyekiti wa Coastal, Steven Mnguto, alisema mpaka sasa mshambuliaji huyo hajaripoti kambini kuanza mazoezi na wenzake na hajatoa taarifa yoyote. Alisema kwa tabia ambayo ameionyesha ni ngumu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Coastal Union yanawa kwa Boban, Nyosso
KLABU ya Coastal Union ya Tanga, imesema haina mpango wa kuwaongezea mkataba nyota wake Haruna Moshi ‘Boban’ na Juma Nyosso baada ya kwisha kwa mikataba yao ya awali. Ofisa Habari...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*XmT4OQgq*rwHu5KnNeoSmv81IdDk8iYHAX7mq21ZruMV2TSyYInbMUUycIGHw47AF3YV9et6r4Z-muTSYsZXHg/22.jpg?width=650)
Boban: Naondoka Coastal
9 years ago
Habarileo02 Sep
Coastal Union yazama 1-0
TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Coastal Union yamfungia Banda
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Coastal Union yajivunia Chipo
UONGOZI wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, umemmwagia sifa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Yusuph Chipo, kutokana na uwezo wake kiutendaji aliouonesha kwa kipindi kifupi ambacho amekabidhiwa majukumu. Akizungumza...
10 years ago
TheCitizen05 Feb
Cannavaro aizamisha Coastal Union
9 years ago
Habarileo16 Aug
Kaseja atua Coastal Union
GOLIKIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesajiliwa na Coastal Union ya Tanga na ameanza mazoezi. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tanga jana, msemaji wa Coastal Union, Oscar Assenga alikiri ujio wa Kaseja kwenye timu hiyo lakini akasema hajasajiliwa na kwamba wapo kwenye mazungumzo.
10 years ago
Raia Mwema08 Jul
Nilichoshuhudia uchaguzi Coastal Union
MWALIMU wangu Ernest Sungura, aliwahi kunifundisha kuwa mwandishi wa makala hatumii nafsi ya kwan
Hafidh Kido
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Coastal Union ipo imara