Coastal Union yaomba radhi kwa vurugu
Klabu ya Coastal Union imewaomba radhi wadau pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa vurugu zilizotokea katika mchezo wao dhidi ya Mbeya City uliofanyika Jumamosi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi03 Nov
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umewaomba radhi TFF na wadau wa soka
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umewaomba radhi wadau wa soka pamoja na shirikisho la soka nchini (TFF) kwa vurugu zilizotokea
kwenye mchezo wa baina yake na Mbeya City uliofanyika mwishoni mwawiki uwanja wa CCM Mkwakwani.
Mchezo huo wa ligi kuu Vodacom ulimalizika kwa vurugu hadi kikosi chakutuliza ghasia kilipoingilia kati na kutumia mabomu ya machozikuwatawanya mashabiki wa soka waliokuwepo katika uwanja wa Mkwakwani.
Vurugu hizo zilitokea kufuatia mwamuzi,Erick Enock kutoka...
10 years ago
Habarileo21 May
Serikali yaomba radhi kwa migomo vyuo vikuu
NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amewaomba radhi wanafunzi wote wa vyuo vikuu nchini, kwa kuchelewa kuwafikishia fedha zao za kujikimu. Hata hivyo, aLIsisitiza kuwa tangu juzi fedha hizo zilishatoka Hazina.
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!
[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.
Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9roLcqCyblk/VcmXcDYz7nI/AAAAAAAHwAQ/rsQaLF0tomY/s72-c/DuLwKj7l.jpg)
Modewjiblog yapatwa na kwikwi, yaomba radhi kwa wasomaji wake
![](http://4.bp.blogspot.com/-9roLcqCyblk/VcmXcDYz7nI/AAAAAAAHwAQ/rsQaLF0tomY/s640/DuLwKj7l.jpg)
Modewjiblog itarudi hewani hivi punde, samahani kwa usumbufu wowote ule uliojitokeza, tunahitaji ushirikiano wenu zaidi.----------------------------------There has been an undergoing DDOS attach on the...
10 years ago
Vijimambo07 Jul
UCHAGUZI 2015: REDET YAOMBA RADHI KWA UTAFITI USIO TIMILIFU
Baadhi ya vyombo vya habari katika taarifa zao zilizochapishwa katika matoleo yao ya Jumatatu tarehe 6 Julai, 2015 vimechapisha taarifa zinazohusu utafiti uliofanywa na REDET juu ya Maoni ya Wananchi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Utakaofanyika Oktoba 2015. Taarifa hizi zimesababisha wadau wengi hapa nchini kutaka ufafanuzi kutoka REDET.
Kama ilivyo kawaida yake REDET imejijengea heshima na utamaduni wa kufanya kazi zake kwa misingi ya uwazi na ukweli. Kwa hali hii...
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Coastal Union kujiuliza kwa Kagera Sugar
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Coastal Union yanawa kwa Boban, Nyosso
KLABU ya Coastal Union ya Tanga, imesema haina mpango wa kuwaongezea mkataba nyota wake Haruna Moshi ‘Boban’ na Juma Nyosso baada ya kwisha kwa mikataba yao ya awali. Ofisa Habari...
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Misri yaomba radhi
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Yanga yaomba radhi mashabiki
KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, mewaomba radhi mashabiki kutokana na kufutwa kwa mechi yao ya kirafiki dhidi Big Bullet ya Malawi iliyokuwa ichezwe jana katika Uwanja...