Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaomba radhi mashabiki

KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, mewaomba radhi mashabiki kutokana na kufutwa kwa mechi yao ya kirafiki dhidi Big Bullet ya Malawi iliyokuwa ichezwe jana katika Uwanja...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Misri yaomba radhi

Misri imeomba radhi kutokana na tukio la mauaji ya bahati mbaya dhidi ya watalii wakiwemo Raia wa Mexico

 

9 years ago

Mwananchi

Coastal Union yaomba radhi kwa vurugu

Klabu ya Coastal Union imewaomba radhi wadau pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa vurugu zilizotokea katika mchezo wao dhidi ya Mbeya City uliofanyika Jumamosi.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaomba radhi kwa migomo vyuo vikuu

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amewaomba radhi wanafunzi wote wa vyuo vikuu nchini, kwa kuchelewa kuwafikishia fedha zao za kujikimu. Hata hivyo, aLIsisitiza kuwa tangu juzi fedha hizo zilishatoka Hazina.

 

10 years ago

Michuzi

Modewjiblog yapatwa na kwikwi, yaomba radhi kwa wasomaji wake

Wapendwa wasomaji wa Modewjiblog tunashughulikia matatizo ya kifundi yaliyojitokeza tangu jana kwenye ‘server’ kiutaalam inaitwa DDOS unaweza kuperuzi link hii  kwa taarifa zaidi https://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack ambayo yako nje ya uwezo wetu.
Modewjiblog itarudi hewani hivi punde, samahani kwa usumbufu wowote ule uliojitokeza, tunahitaji ushirikiano wenu zaidi.----------------------------------There has been an undergoing DDOS attach on the...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI 2015: REDET YAOMBA RADHI KWA UTAFITI USIO TIMILIFU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baadhi ya vyombo vya habari katika taarifa zao zilizochapishwa katika matoleo yao ya Jumatatu tarehe 6 Julai, 2015 vimechapisha taarifa zinazohusu utafiti uliofanywa na REDET juu ya Maoni ya Wananchi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Utakaofanyika Oktoba 2015. Taarifa hizi zimesababisha wadau wengi hapa nchini kutaka ufafanuzi kutoka REDET. 

Kama ilivyo kawaida yake REDET imejijengea heshima na utamaduni wa kufanya kazi zake kwa misingi ya uwazi na ukweli. Kwa hali hii...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!

tigo-logo

[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.

Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...

 

9 years ago

Mtanzania

JB awataka radhi mashabiki

JABMKALI wa filamu za kibongo, JB amewaomba radhi mashabiki wake kwa mkosa mbalimbali ya kiufundi ambayo
yalitokea kwenye baadhi ya kazi zake mwaka uliopita na amewataka waendelee kumuunga mkono mwaka huu.

‘Niwashukuru mashabiki wangu kwa kuendelea kuniunga mkono hasa kwenye filamu yangu ya Chungu cha Tatu ambayo nimeiachia wiki chache zilizopita nawaahidi kazi nzuri zenye ubora zaidi mwaka huu,’ aliandika JB kwenye ukurasa wake wa...

 

9 years ago

GPL

MAINDA AWAOMBA RADHI MASHABIKI

Brighton masalu
KUTOKANA na kukaa kimya kwa muda mrefu bila kujihusisha na kazi yake ya uigizaji, msanii wa muda mrefu, Ruth Suka ‘Mainda’ amewaomba radhi mashabiki zake kwa kitendo hicho na kuweka wazi kuwa yuko ‘bize’ na mambo mengine nje ya sanaa lakini muda si mrefu atajikita tena kwenye kazi hiyo na kwamba mashabiki hao watarajie makubwa zaidi. Akizungumza na mwanahabari wetu kwa njia ya simu katikati ya wiki hii,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Linex aomba radhi mashabiki wake

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Sunday Mangu amewataka radhi mashabiki wake kwa kushindwa kufanya uzinduzi wa video yake ya ‘Wema Kwa Ubaya’ ambayo alipanga kuizindua Agosti 31, katika ukumbi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani