Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI 2015: REDET YAOMBA RADHI KWA UTAFITI USIO TIMILIFU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baadhi ya vyombo vya habari katika taarifa zao zilizochapishwa katika matoleo yao ya Jumatatu tarehe 6 Julai, 2015 vimechapisha taarifa zinazohusu utafiti uliofanywa na REDET juu ya Maoni ya Wananchi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Utakaofanyika Oktoba 2015. Taarifa hizi zimesababisha wadau wengi hapa nchini kutaka ufafanuzi kutoka REDET. 

Kama ilivyo kawaida yake REDET imejijengea heshima na utamaduni wa kufanya kazi zake kwa misingi ya uwazi na ukweli. Kwa hali hii...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Coastal Union yaomba radhi kwa vurugu

Klabu ya Coastal Union imewaomba radhi wadau pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa vurugu zilizotokea katika mchezo wao dhidi ya Mbeya City uliofanyika Jumamosi.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaomba radhi kwa migomo vyuo vikuu

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amewaomba radhi wanafunzi wote wa vyuo vikuu nchini, kwa kuchelewa kuwafikishia fedha zao za kujikimu. Hata hivyo, aLIsisitiza kuwa tangu juzi fedha hizo zilishatoka Hazina.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!

tigo-logo

[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.

Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...

 

10 years ago

Michuzi

Modewjiblog yapatwa na kwikwi, yaomba radhi kwa wasomaji wake

Wapendwa wasomaji wa Modewjiblog tunashughulikia matatizo ya kifundi yaliyojitokeza tangu jana kwenye ‘server’ kiutaalam inaitwa DDOS unaweza kuperuzi link hii  kwa taarifa zaidi https://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack ambayo yako nje ya uwezo wetu.
Modewjiblog itarudi hewani hivi punde, samahani kwa usumbufu wowote ule uliojitokeza, tunahitaji ushirikiano wenu zaidi.----------------------------------There has been an undergoing DDOS attach on the...

 

9 years ago

BBCSwahili

Misri yaomba radhi

Misri imeomba radhi kutokana na tukio la mauaji ya bahati mbaya dhidi ya watalii wakiwemo Raia wa Mexico

 

10 years ago

Tanzania Daima

Yanga yaomba radhi mashabiki

KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, mewaomba radhi mashabiki kutokana na kufutwa kwa mechi yao ya kirafiki dhidi Big Bullet ya Malawi iliyokuwa ichezwe jana katika Uwanja...

 

9 years ago

Dewji Blog

Twaweza yatoa matokeo ya utafiti juu ya Uchaguzi nchini 2015

Print

aidan

Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Bw. Aidan Eyakuze.(Picha na Maktaba).

 

Na Ally Daud-MAELEZO.

Taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza imetoa matokeo ya utafiti uliyofanywa juu ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ambapo utafiti huo unaonesha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndio kinachopendwa na wananchi kuliko chama kingine cha  siasa hapa nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Bw. Aidan Eyakuze alisema katika utafiti...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni lini tutakuwa na uchaguzi usio na kasoro tele?

Kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba, serikali za mitaa ni vyombo vya wananchi ambavyo huundwa, huendeshwa na huwajibika kwa wananchi.

 

9 years ago

Habarileo

17 kortini kwa mkusanyiko usio halali

POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora imewafikisha mahakamani watu 17 wakishtakiwa kufanya mkusanyiko usio halali karibu na jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ambalo lilikuwa likitumika katika shughuli za kuhesabu kura za uchaguzi mkuu wa majimbo ya Igunga na Manonga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani