Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni lini tutakuwa na uchaguzi usio na kasoro tele?

Kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba, serikali za mitaa ni vyombo vya wananchi ambavyo huundwa, huendeshwa na huwajibika kwa wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Tutakuwa nchi ya walalamikaji mpaka lini?

JUZI Naibu Spika, Job Ndugai, aliitaka Serikali kushughulikia suala la mauaji ya Kiteto yanayotokea mara kwa mara kiasi cha kulifananisha eneo hilo na nchi ya Somalia. Somalia ni miongoni mwa...

 

10 years ago

Habarileo

NHIF yalipa bil. 5/- za Tele kwa Tele

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa CHF, Rehani AthumaniMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeshalipa halmashauri mbalimbali zaidi ya Sh bilioni 5 kama mchango wa serikali katika mfumo wa tele kwa tele.

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI 2015: REDET YAOMBA RADHI KWA UTAFITI USIO TIMILIFU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baadhi ya vyombo vya habari katika taarifa zao zilizochapishwa katika matoleo yao ya Jumatatu tarehe 6 Julai, 2015 vimechapisha taarifa zinazohusu utafiti uliofanywa na REDET juu ya Maoni ya Wananchi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Utakaofanyika Oktoba 2015. Taarifa hizi zimesababisha wadau wengi hapa nchini kutaka ufafanuzi kutoka REDET. 

Kama ilivyo kawaida yake REDET imejijengea heshima na utamaduni wa kufanya kazi zake kwa misingi ya uwazi na ukweli. Kwa hali hii...

 

9 years ago

Habarileo

Ulingo wataja kasoro uchaguzi mkuu

ASASI ya Umoja wa Wanasiasa Wanawake (ULINGO) imesema uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 katika baadhi ya maeneo haukuwa huru na haki.

 

9 years ago

Mwananchi

NEC itumie uchaguzi mdogo kurekebisha kasoro

Jumapili hii wananchi kwenye  majimbo manane na kata 56 ambao hawakufanya uchaguzi wa wawakilishi wao katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, wataanza mchakato huo kwa kuanzia na uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Lulindi mkoani Mtwara.NEC itumie uchaguzi  mdogo kurekebisha kasoro

 

9 years ago

Mwananchi

Kasoro uchaguzi mwaka huu zitafutiwe dawa

Ni dhahiri kwamba Watanzania wameonyesha ukomavu mwingi ambao unazidi kuwaweka kwenye rekodi za kujivunia kwa miaka mingi ijayo.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM, wapinzani walalamikia kasoro nyingi zilizojitokeza katika uchaguzi

Katika hali isiyotarajiwa na wengi karibu viongozi wote wa vyama vya siasa wakiwamo wa Chama tawala CCM waliohojiwa kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wamelalamikia uchaguzi huo na kuainisha kasoro mbalimbali zilizochangia kuvuruga kazi hiyo yote. Baadhi ya kasoro hizo ni pamoja na kukosekana kwa majina ya wapiga kura, majina ya wagombea kujichanganya na nembo za vyama kuwekwa tofauti. Kasoro zingine ni kuchelewa kuanza kwa uchaguzi huo, majina ya watu kutumika kupigiwa kura na...

 

10 years ago

StarTV

Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.

Na, Winifrida Ndunguru

Dar Es Salaam.

15 December 2014

 

 

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.

 

 

Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.

 

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...

 

10 years ago

Habarileo

‘Tutakuwa wawazi uchimbaji mafuta

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles MwijageKUTOKANA na Sekta ya Nishati, Gesi na Mafuta kuwa sekta muhimu inayotupiwa macho kama eneo nyeti la uwekezaji, serikali imesema huu ni wakati wa kuwaweka Watanzania na wadau wazi kila mmoja afanye kazi yake kulingana na uwezo wa taaluma yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani