‘Tutakuwa wawazi uchimbaji mafuta
KUTOKANA na Sekta ya Nishati, Gesi na Mafuta kuwa sekta muhimu inayotupiwa macho kama eneo nyeti la uwekezaji, serikali imesema huu ni wakati wa kuwaweka Watanzania na wadau wazi kila mmoja afanye kazi yake kulingana na uwezo wa taaluma yake.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog06 Oct
Swala Tanzania kuanza uchimbaji mafuta Kilombero
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, David Mestres Ridge (kulia).
Kampuni ya mafuta na gesi ya Swala Tanzania PLC inapenda kutaarifu kwamba imechagua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa kisima cha mafuta na utafutaji kwa mwaka 2016 ambao utafanyika kwenye eneo tarajiwa la Kito kwenye leseni ya Kilosa- Kilombero.
Akifafanua kuhusu kuanza kwa uchimbaji huo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Swala, David Mestres Ridge alisema kuwa tafsiri ya marudio ya 2013 na 2014...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Sep
Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha wananchi-CUF- Maalim Seif Sharrif Hamad amesisitiza kuwa anahitaji siku 100 tu kwa Zanzibar kuwa na mamlaka yake kuhusu sera na uchimbaji wa mafuta kisiwani humo. Maalim ametoa msimao huo […]
The post Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100 appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
MichuziTPDC YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA KATIKA HOTELI YA OCEANIC BAY $ RESORT, BAGAMOYO LEO
11 years ago
Habarileo07 Apr
CWT watakiwa kuwa wawazi na fedha za michango
UONGOZI wa Chama cha Walimu (CWT) umenasihiwa kuongeza uwazi juu ya fedha za chama zinazotokana na michango ya walimu ili kupunguza shutuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha.
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Hata 2015 tutakuwa wasindikizaji
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Tutakuwa nchi ya walalamikaji mpaka lini?
JUZI Naibu Spika, Job Ndugai, aliitaka Serikali kushughulikia suala la mauaji ya Kiteto yanayotokea mara kwa mara kiasi cha kulifananisha eneo hilo na nchi ya Somalia. Somalia ni miongoni mwa...
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Mourinho: Tutakuwa bora kwa miaka 10
10 years ago
Habarileo04 Aug
CCM: Tutakuwa makini uteuzi wabunge
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uteuzi wa wagombea ubunge na uwakilishi, utazingatia yale yaliyofanyika katika uteuzi wa mgombea wao wa urais, na kusisitiza kuwa kuongoza kura za maoni sio mwisho wa safari, bali kigezo cha kuelekea katika uteuzi.
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Ni lini tutakuwa na uchaguzi usio na kasoro tele?