Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mourinho: Tutakuwa bora kwa miaka 10

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho anaamini kuwa timu yake itakuwa moto wa kuotea mbali kwa miaka 10 ijayo katika Ligi Kuu England, baada ya kuwasajili Cesc Fabregas, Diego Costa na Filipe Luis.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mourinho na Hazard ndio bora EPL

Mkufunzi wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ametangazwa kuwa mkufunzi bora katika ligi ya Uingereza kwa mara ya tatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mourinho:Taji la mchezaji bora lifutwe

Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kwamba taji la mchezaji bora duniani Ballon d'Or linafaa kuondolewa.

 

9 years ago

BBCSwahili

'Hakuna bora kama mimi',Mourinho ajigamba

Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho amesisitiza kuwa yeye ni bora kushinda yeyote yule katika kuifunza kilabu hiyo licha ya mabingwa hao watetezi wa ligi ya Uingereza kushindwa vibaya katika kipindi cha miaka 29.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho: Itakuwa vigumu kumaliza nne bora

Mourinho amekiri kwamba itakuwa vigumu kwa timu yake kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao baada yao kulazwa 1-0 na Bournemouth.

 

9 years ago

Bongo5

Jose Mourinho asema hakuna bora kama yeye

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amesisitiza kuwa yeye ni bora kushinda yeyote yule katika kuifunza klabu hiyo licha kupoteza mechi tatu mfululizo katika msimu huu. Baada ya kichapo hicho cha mabao 3-1 dhidi ya Everton ,Mourinho alisema kuwa watu wengi sasa wanafurahia janga lake. “Haya ni matokeo mabaya zaidi katika kazi yangu,” alisema Mourinho. “Sijazoea […]

 

9 years ago

Bongo5

Jose Mourinho: Akili Itakuwa vigumu kumaliza nne bora

2F1F8D9E00000578-3348535-image-m-24_1449441762108

Kocha wa wa Chelsea Jose Mourinho amekiri kuwa itakuwa ngumu kwa timu yake kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao baada yao kufungwa 1-0 na Bournemouth nyumbani Jumamosi.

2F1F8D9E00000578-3348535-image-m-24_1449441762108

Hiki ni kichapo cha nane katika mechi 15 za Ligi ya Premia, kimewaacha mabingwa hao watetezi wakiwa alama 14 nyuma ya Manchester United walio nambari nne.

“Lengo letu ni kumaliza katika nne bora,” alisema Mourinho.

“Kabla ya mechi hii, kulikuwa na msingi kufikiria kuwa tulikuwa na uwezo wa kujitoa katika hali hii...

 

10 years ago

GPL

JOSE MOURINHO AONGEZA MIAKA 4 CHELSEA

Jose Mourinho akiwa na Kombe la Ligi Kuu ya England msimu uliopita. KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho amesaini mkataba wa miaka minne kuendelea kuifundisha timu hiyo ya London. Mkataba huo wa Mourinho utamfanya aweke kibindoni kiasi cha Pauni milioni 8.5 kwa mwaka. Taarifa zimeeleza kuwa Mourinho ameongezewa mkataba huo baada ya kutwaa Kombe la Ligi Kuu ya England msimu uliopita. Katika msimu huo uliopita, Mourinho alitwaa pia...

 

11 years ago

Michuzi

MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD NDIO MAZIWA BORA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UBORA KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO ,MAKAMPUNI 30 YAACHWA MBALI

Afisa masoko wa kampuni ya maziwa ya Asas  Dairies Ltd ya mkoani Iringa Bw Jimy Kiwelu akishangilia baada ya  kampuni yake  kuwa ndio kampuni  bora ya uzalishaji maziwa nchini Tanzania katika mashindano yaliyofanyika mkoani mara Watoto  wa mkoa wa Mara  wakishangaa ubora wa maziwa ya Asas kutoka Iringa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kulia na  viongozi  wengine wakifuatilia maonyesho hayo huku  wakifurahia ubora wa maziwa ya Asas Dairies Ltd.
Picha zaidi...

 

10 years ago

Habarileo

‘Tutakuwa wawazi uchimbaji mafuta

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles MwijageKUTOKANA na Sekta ya Nishati, Gesi na Mafuta kuwa sekta muhimu inayotupiwa macho kama eneo nyeti la uwekezaji, serikali imesema huu ni wakati wa kuwaweka Watanzania na wadau wazi kila mmoja afanye kazi yake kulingana na uwezo wa taaluma yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani