Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jose Mourinho: Akili Itakuwa vigumu kumaliza nne bora

2F1F8D9E00000578-3348535-image-m-24_1449441762108

Kocha wa wa Chelsea Jose Mourinho amekiri kuwa itakuwa ngumu kwa timu yake kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao baada yao kufungwa 1-0 na Bournemouth nyumbani Jumamosi.

2F1F8D9E00000578-3348535-image-m-24_1449441762108

Hiki ni kichapo cha nane katika mechi 15 za Ligi ya Premia, kimewaacha mabingwa hao watetezi wakiwa alama 14 nyuma ya Manchester United walio nambari nne.

“Lengo letu ni kumaliza katika nne bora,” alisema Mourinho.

“Kabla ya mechi hii, kulikuwa na msingi kufikiria kuwa tulikuwa na uwezo wa kujitoa katika hali hii...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho: Itakuwa vigumu kumaliza nne bora

Mourinho amekiri kwamba itakuwa vigumu kwa timu yake kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao baada yao kulazwa 1-0 na Bournemouth.

 

10 years ago

Bongo5

Jose Mourinho asema hakuna bora kama yeye

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amesisitiza kuwa yeye ni bora kushinda yeyote yule katika kuifunza klabu hiyo licha kupoteza mechi tatu mfululizo katika msimu huu. Baada ya kichapo hicho cha mabao 3-1 dhidi ya Everton ,Mourinho alisema kuwa watu wengi sasa wanafurahia janga lake. “Haya ni matokeo mabaya zaidi katika kazi yangu,” alisema Mourinho. “Sijazoea […]

 

9 years ago

MillardAyo

Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho …

Hizi ni stori au mkusanyiko wa mawazo ya waandishi wa habari wa Uingereza na wchambuzi wa masuala ya soka Uingereza, Jose Mourinho na Louis van Gaal ndio makocha ambao walikuwa wanahusishwa kwa kiasi kikubwa kupewa nafasi ya kufukuzwa kazi kutokana na mwenendo wa timu zao. Tayari Jose Mourinho kafukuzwa Chelsea ila hatujui Man United wataamua […]

The post Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho … appeared first on...

 

9 years ago

BBCSwahili

Hiddink: Inawezekana Chelsea kumaliza nne bora

Hiddink amesema bado inawezekana klabu hiyo kumaliza katika nne bora Ligi ya Premia baada yao kulaza Crystal Palace 3-0 Jumapili.

 

9 years ago

BBCSwahili

Hodgson: Itakuwa vigumu kumuacha Vardy

Mmeneja wa Uingereza Roy Hodgson amesema itakuwa vigumu kumuacha Jamie Vardy nje ya kikosi chake cha Euro 2016 akiendelea kung’aa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mourinho: ilikuwa vigumu kumwachia Mata

Jose Mourinho amesmea kuwa ulikuwa ni 'uamuzi mgumu' kwake kumwachilia Juan Mata kujiunga na Manchester United.

 

10 years ago

GPL

JOSE MOURINHO HAKUNAGA

Mashabiki wa timu ya Chelsea wakiwa wamebeba bango la kumsifia, Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho. LONDON, England
MWACHE Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho atembee kifua wazi na kutamba katika mitaa mbalimbali ya Jiji la London, kwani ni miongoni mwa makocha wachache wageni waliopata mafanikio England. Sifa kubwa ya kocha huyu raia wa Ureno ni maneno mengi yenye kejeli, dharau, majigambo na mambo mengine mengi ambayo hugeuka na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jose Mourinho matatani

Jose Mourinho ashtakiwa kwa utovu wa nidhamu.

 

10 years ago

Bongo5

FA yampa adhabu Jose Mourinho

Chama cha soka cha England FA, kimempa adhabu meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho kutokana na utovu wa nidhamu. Mourinho amefungiwa mechi moja na kupigwa faini ya pauni 50,000 kwa maoni yake dhidi ya maafisa wa mechi. Mourinho alidai kuwa maafisa walikuwa waoga kuipa timu yake penati baada ya Robert Madley kuikatalia penati Chelsea […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani