Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jose Mourinho matatani

Jose Mourinho ashtakiwa kwa utovu wa nidhamu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Jose Mourinho huenda akajikuta matatani tena

Kocha wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho, huenda akajikuta amejiweka tena matatani kwa kumtolea lugha ya kashfa muamuzi, Damir Skomina, aliyechezesha mechi yao ya ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi Dynamo Kiev ambapo mechi iliishia kwa sare ya bila kufungana. Mourinho alichukizwa na muamuzi huyo baada ya kuinyima timu yake penati ya wazi baada ya […]

 

10 years ago

GPL

JOSE MOURINHO HAKUNAGA

Mashabiki wa timu ya Chelsea wakiwa wamebeba bango la kumsifia, Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho. LONDON, England
MWACHE Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho atembee kifua wazi na kutamba katika mitaa mbalimbali ya Jiji la London, kwani ni miongoni mwa makocha wachache wageni waliopata mafanikio England. Sifa kubwa ya kocha huyu raia wa Ureno ni maneno mengi yenye kejeli, dharau, majigambo na mambo mengine mengi ambayo hugeuka na...

 

9 years ago

Bongo5

FA yampa adhabu Jose Mourinho

Chama cha soka cha England FA, kimempa adhabu meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho kutokana na utovu wa nidhamu. Mourinho amefungiwa mechi moja na kupigwa faini ya pauni 50,000 kwa maoni yake dhidi ya maafisa wa mechi. Mourinho alidai kuwa maafisa walikuwa waoga kuipa timu yake penati baada ya Robert Madley kuikatalia penati Chelsea […]

 

9 years ago

Africanjam.Com

JOSE MOURINHO'S WORSE WEEK EVER


Chelsea manager Jose Mourinho's week from hell concluded in a fitting manner as he suffered the misery of watching his Premier League champions comprehensively dismantled by Manchester City.The start of Chelsea's title defence has been overshadowed by the behind-the-scenes manoeuvring that saw Mourinho remove medical staff Eva Carneiro and Jon Fearn from their touchline roles after infuriating the manager by entering the Stamford Bridge playing surface to attend to Eden Hazard in the 2-2...

 

9 years ago

Mtanzania

Kauli yamponza Jose Mourinho

Jose MourinhoLONDON, ENGLAND

CHAMA cha Soka England (FA), kimemfungia mchezo mmoja kuingia uwanjani na faini ya pauni 50,000 kocha wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho.

Adhabu hiyo imekuja baada ya kocha huyo kukutwa na kosa la kuvunja kanuni za FA inayohusiana na maelezo yake ya mwisho wa mchezo walipofungwa na Southampton mabao 3-1.

Mourinho alikutwa na kosa la kumbwatukia mwamuzi wa mchezo huo, akidai kuwa aliwaua baada ya kuwa na ‘hofu ya kutoa maamuzi kwa Chelsea’.

FA imesema kuwa ina uwezo wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Arsene Wenger amjibu Jose Mourinho

wengerLONDON, ENGLAND

BAADA ya Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho kumshambulia Arsene Wenger kwamba ni kocha ambaye yupo katika wakati mgumu wa kufukuzwa na klabu yake, naye Wenger amemjibu kocha huyo kwa kusema anajivunia kuwa na jina kubwa katika chama cha soka nchini England.

Hata hivyo, Mourinho alimshambulia kocha huyo kwa kudai kuwa anapenda kuwalalamikia waamuzi wakati anapopoteza mchezo.

Wenger alionekana kumtupia lawama mwamuzi Mike Dean ambaye alichezesha mchezo wa wapinzani hao wiki moja...

 

10 years ago

Bongo5

Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho ashtakiwa na FA

Kocha wa Chelsea asiyeishiwa vituko, Jose Mourinho ameshtakiwa na chama cha soka cha England, FA kufuatia madai yake kuwa kuna ‘kampeni’ ya waamuzi dhidi ya timu yake. Mourinho alitoa matamshi hayo baada ya Chelsea kunyimwa penati dhidi ya Southampton Disemba 28 katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1. Mwamuzi Anthony Taylor alimuonesha kadi ya manjano […]

 

9 years ago

Global Publishers

Jose Mourinho atimuliwa kazi Chelsea

Jose Mourinho 2

Jose Mourinho.

Meneja wa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Jose Mourinho amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kufululiza kwa matokeo mabovu.

The Blues walishinda Ligi Kuu England msimu uliopita lakini msimu huu mambo yamekuwa kinyume, na wapo nafasi moja tu juu ya eneo la kushushwa daraja kwenye ligi hiyo.

Bodi ya klabu hiyo ilikutana jana kujadili hatma ya Mourinho chini ya mmiliki wa klabu hiyo, Mrusi Roman Abramovich.

Mourinho-Lampard-City-513573

Mreno huyo mwenye umri wa miaka 52 amekuwa Chelsea kwa kipindi cha pili,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani