JOSE MOURINHO HAKUNAGA
![](http://api.ning.com:80/files/eoZ5qo4qa6pEoU2cJ1I0*xH4AZuFrGkKpMD8PBUMovJBHuzRqtxat4RsuWcENGsbGSf6gWnPQ8yD5hTzcCDHiF2wnDzLwvlO/url.jpg?width=650)
Mashabiki wa timu ya Chelsea wakiwa wamebeba bango la kumsifia, Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho. LONDON, England MWACHE Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho atembee kifua wazi na kutamba katika mitaa mbalimbali ya Jiji la London, kwani ni miongoni mwa makocha wachache wageni waliopata mafanikio England. Sifa kubwa ya kocha huyu raia wa Ureno ni maneno mengi yenye kejeli, dharau, majigambo na mambo mengine mengi ambayo hugeuka na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Kauli yamponza Jose Mourinho
LONDON, ENGLAND
CHAMA cha Soka England (FA), kimemfungia mchezo mmoja kuingia uwanjani na faini ya pauni 50,000 kocha wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho.
Adhabu hiyo imekuja baada ya kocha huyo kukutwa na kosa la kuvunja kanuni za FA inayohusiana na maelezo yake ya mwisho wa mchezo walipofungwa na Southampton mabao 3-1.
Mourinho alikutwa na kosa la kumbwatukia mwamuzi wa mchezo huo, akidai kuwa aliwaua baada ya kuwa na ‘hofu ya kutoa maamuzi kwa Chelsea’.
FA imesema kuwa ina uwezo wa...
9 years ago
Bongo515 Oct
FA yampa adhabu Jose Mourinho
9 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-BWmxv8oEHP8/VdIuRZ6SjrI/AAAAAAAADUg/VRpiN8cojJg/s72-c/_84922311_josemourinho.jpg)
JOSE MOURINHO'S WORSE WEEK EVER
![](http://3.bp.blogspot.com/-BWmxv8oEHP8/VdIuRZ6SjrI/AAAAAAAADUg/VRpiN8cojJg/s1600/_84922311_josemourinho.jpg)
Chelsea manager Jose Mourinho's week from hell concluded in a fitting manner as he suffered the misery of watching his Premier League champions comprehensively dismantled by Manchester City.The start of Chelsea's title defence has been overshadowed by the behind-the-scenes manoeuvring that saw Mourinho remove medical staff Eva Carneiro and Jon Fearn from their touchline roles after infuriating the manager by entering the Stamford Bridge playing surface to attend to Eden Hazard in the 2-2...
9 years ago
Bongo517 Dec
Kocha Jose Mourinho atimuliwa Chelsea
![José Mourinho](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Jos%C3%A9-Mourinho-300x194.jpg)
Chelsea imemtimua meneja wake Jose Mourinho.
Kocha huyo raia wa Ureno mwenye miaka 52, alikuwa akiifundisha Chelsea kwa awamu ya pili kuanzia June 2013.
Chelsea imekuwa na msimu mbaya zaidi kwa kufungwa mechi 16 hadi sasa.
Pep Guardiola, Guus Hiddink, Brendan Rodgers na Juande Ramos ni majina yanayotajwa zaidi kushika nafasi yake.
Akiwa na Chelsea, kocha huyo alishinda ubingwa wa ligi kuu ya England mara tatu, mbili katika awamu yake ya kwanza kati ya mwaka 2004 na 2007.
Jiunge na...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Jose Mourinho atimuliwa kazi Chelsea
Jose Mourinho.
Meneja wa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Jose Mourinho amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kufululiza kwa matokeo mabovu.
The Blues walishinda Ligi Kuu England msimu uliopita lakini msimu huu mambo yamekuwa kinyume, na wapo nafasi moja tu juu ya eneo la kushushwa daraja kwenye ligi hiyo.
Bodi ya klabu hiyo ilikutana jana kujadili hatma ya Mourinho chini ya mmiliki wa klabu hiyo, Mrusi Roman Abramovich.
Mreno huyo mwenye umri wa miaka 52 amekuwa Chelsea kwa kipindi cha pili,...
10 years ago
Bongo509 Jan
Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho ashtakiwa na FA
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Jose Mourinho afutwa kazi Chelsea