Jose Mourinho afutwa kazi Chelsea
Meneja wa klabu ya Chelsea ya Uingereza amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kuandikisha msururu wa matokeo mabaya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Jose Mourinho atimuliwa kazi Chelsea
Jose Mourinho.
Meneja wa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Jose Mourinho amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kufululiza kwa matokeo mabovu.
The Blues walishinda Ligi Kuu England msimu uliopita lakini msimu huu mambo yamekuwa kinyume, na wapo nafasi moja tu juu ya eneo la kushushwa daraja kwenye ligi hiyo.
Bodi ya klabu hiyo ilikutana jana kujadili hatma ya Mourinho chini ya mmiliki wa klabu hiyo, Mrusi Roman Abramovich.
Mreno huyo mwenye umri wa miaka 52 amekuwa Chelsea kwa kipindi cha pili,...
9 years ago
StarTV18 Dec
Klabu Ya Chelsea Yamfuta kazi kocha Jose Mourinho.
Bodi ya klabu ya Chelsea The Blues ya England hatimaye imefikia uamauzi wa kumfuta kazi kocha Jose Mourinho chini ya mmiliki wake Roman Abramovic kufuatia matokeo mabaya kwenye ligi kuu ya England ikiwa katika nafasi ya 16 ya msimamo wa ligi hiyo.
Klabu hiyo bado haijatangaza rasmi lakini tayari bodi imepeana mkono wa kwaheri ikiwa ni miezi saba tangu alipoiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa EPL msimu uliopita.
Kipigo cha jumatatu wiki hii dhidi ya Leicester City cha mabao 2-1...
10 years ago
Bongo509 Jan
Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho ashtakiwa na FA
10 years ago
GPLJOSE MOURINHO AONGEZA MIAKA 4 CHELSEA
9 years ago
Bongo517 Dec
Kocha Jose Mourinho atimuliwa Chelsea
Chelsea imemtimua meneja wake Jose Mourinho.
Kocha huyo raia wa Ureno mwenye miaka 52, alikuwa akiifundisha Chelsea kwa awamu ya pili kuanzia June 2013.
Chelsea imekuwa na msimu mbaya zaidi kwa kufungwa mechi 16 hadi sasa.
Pep Guardiola, Guus Hiddink, Brendan Rodgers na Juande Ramos ni majina yanayotajwa zaidi kushika nafasi yake.
Akiwa na Chelsea, kocha huyo alishinda ubingwa wa ligi kuu ya England mara tatu, mbili katika awamu yake ya kwanza kati ya mwaka 2004 na 2007.
Jiunge na...
9 years ago
Africanjam.ComWHAT JOSE MOURINHO SAID ABOUT WENGER BEFORE TODAY'S CHELSEA CLASH WITH ARSENAL
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Headlines 10 za magazeti ya Ulaya, kabla ya Jose Mourinho kufukuzwa Chelsea …
Ikiwa ni siku tano zimepita toka uongozi wa bodi ya Chelsea utangaze kumfuta kazi aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Jose Mourinho, mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee headlines 10 za magazeti ya Ulaya kabla ya Chelsea kuamua maamuzi ya kumfukuza kazi Jose Mourinho. Hii pia inatajwa kama dalili ya kocha wa sasa wa Man […]
The post Headlines 10 za magazeti ya Ulaya, kabla ya Jose Mourinho kufukuzwa Chelsea … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo516 Dec
Roman Abramovich kuamua hatma ya Jose Mourinho Chelsea leo
Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich atalazimika kumlipa Jose Mourinho zaidi ya pauni milioni 40 kama atamfukuza kazi ya kuwa kocha wa Chelsea kwenye kikao cha dharura siku ya Jumatano.
Abramovich alikuwa na mazungumzo na timu ya makocha – Bruce Buck, Marina Granovskaia, Eugene Tenenbum na Michael Emenalo – kuhusu mustakabali wa Mourinho.
Wakati Mreno huyo aliporejea klabuni hapo mwaka 2013, bodi ilimpigia kura 3-2 kumpendekeza yeye. Leo litakuwa suala jingine.
Mourinho anayelipwa...
9 years ago
Africanjam.ComJOSE MOURINHO SACKED AS CHELSEA MANAGER AND GUUS HIDDINK LINED UP TO REPLACE HIM
The next permanent Chelsea manager will likely be appointed next summer, with candidates including Diego Simeone, Pep Guardiola and Carlo Ancelotti all in the frame. Mourinho's second reign in...